Zari: Success is not sexually transmitted !

Hata mi ntarithi za G na nitawaandikia hivyoo msijalii,mme wangu nae ni don tuu wala msijali ,hii miezi nambebeaa mimba
Hehehehe sasa ndo hapo unaona utofauti , Wewe unasubiri mpaka urithi( unamuombea jamaa kifo) lkn pia kitendo chakusubiri Urithi ndio upate nguvu ya kutoa kauli kama iyo ,pia inaonyesha utofauti mkubwa ulopo....kwanza uyo G akisoma hayo maandishi anajisikiaje??? Mmmhhh mbona kama naona harufu ya mtu kujibebisha tu na kivuli ..( natania)[emoji6]

Ukiwa makini Kwa kila kitu bila kujalishauchumi wako lazima utakua na Mawazo huru sana kama ilivo kwa Zary

Ukweli nikwamba, alichozungumza Zary kitawaudhi sana nakuumiza sio kidogo , nakatika kujifariji wengi mtasema **Bila ivan ,asingekua ivo** .....lkn ukumbuke Zarieth kwakua kwake social celeb ndiko kulikopelekea tajiri ivan amuone !!! .

Kwamfano, ukiangalia madem wote wa diamond ,utagundua wote wanaumaarufu wao pemben ..you see???

Samahan kwa gazeti ila ndo ukweli huo dear[emoji23]
 
Mme wangu hafi tena nishaanza kurirthishwa hata kabla hajafa kwa taarifa tu niwape
Hakuna mali ya zari hapo karithishwa tu ,ali za dhulma na utapeli bora hata mme wangu ni za halali
 
Ur wrong my dear,they started from nothing to something,hakuenda kwa ivan kwa ajili ya pesa walizitafuta wote,hapa ndo ule msemo ili ufanikiwe unahitaji mwanamke mzuri upstairs.
Kwani yeye amefikaje hapo alipo?
Kwamba ni Kwa juhudi zake mwenyewe au urithi wa mali za Mume wake the late Ivan?
Manake mali za urithi Mtu hupaswi kutamba nazo !
 
Siku zari akisimama mwenyewe nami nitasimama mwenyewe
Mme wangu hafi tena nishaanza kurirthishwa hata kabla hajafa kwa taarifa tu niwape
Hakuna mali ya zari hapo karithishwa tu ,ali za dhulma na utapeli bora hata mme wangu ni za halali
Umesema kweli kabisaaa hata klyn bila meng hakuna kitu
Nakunyaaaaaaaaaaaa
Kipi chake alichofanikiwaa
basi hata mi G ananirithisha mali zake nami bosslady
Hata mi ntarithi za G na nitawaandikia hivyoo msijalii,mme wangu nae ni don tuu wala msijali ,hii miezi nambebeaa mimba
Hakuna zari anachomili hapo kakifanikisha ni mali za ivan,hata mi mme wangu sio maskini ntamzalia wawili narithi mpoooo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nawanyeaaa mbwaaa nyie
Na bado hakuna alichoendeleza vyake vilikufa kwa kudaiwa kodi
Bila Ivan ungekuwa huna kituuu hata mi Za G nazimiliki basi na boss lady
Asee...
 
You do not sleep with a successful or rich man (or woman!) hoping that some of his cash, or prosperity will be forwarded to you.Simple and clear.
Not only hoping. Praying, expecting and demanding a big chunk of that cash to be transmitted without delays. Hii ni opposite ya enzi za barter trade. Hapa ni "Nipe nikupe cash".
 
Mnajulikana wa humu munaomuonea wivu.. mtaandika yote mnayotaka ila ukweli mnaujua.. mnatamani na hii imewachoma haswaaa ndio mnatapa tapa na maneno yenu ya wivu.. kaeni chini mjipige na vibao vya usoni.. tabia zenu zimeshushuka ha ha ha haaaa
 
Back
Top Bottom