Zari: Success is not sexually transmitted !

Zari: Success is not sexually transmitted !

Tatizo mfumo utakuta tumeoana hatuna kitu najibana kama mwanamke napigana huku na kule tutafute mali,ila tukifanikiwa anayepewa kipaumbele mwanaume,siku zote waafrika mafanikio ya mwanamke recognized when she is single,ukiolewa mafanikio ni ya mwanaume.
Na hii ndo inapopelekea wadada wamama waone bora kuwa na mwenye pesa kuliko kutafuta wote.
Zari yeye alishakuwa na mali walizotafuta na ivan,hawezi kurudia tena kuhangaika na wanaume wasiojiweza kiuchumi,kama kushinda njaa alishashinda kama dagaa keshakula sasa hivi ni kudate wealth man tu,hata siku moja hawezi kuwa na maskini
Oooh safi

Exactly
 
Mnajulikana wa humu munaomuonea wivu.. mtaandika yote mnayotaka ila ukweli mnaujua.. mnatamani na hii imewachoma haswaaa ndio mnatapa tapa na maneno yenu ya wivu.. kaeni chini mjipige na vibao vya usoni.. tabia zenu zimeshushuka ha ha ha haaaa
Hahhahaha Hahahha...... Si kwa maneno Haya.. But honestly speaking huyu mdada kiboko.....let's me give her credit....
 
Na bado hakuna alichoendeleza vyake vilikufa kwa kudaiwa kodi

Kuolewa na don napo ni mafanikio mkwe, haulijui hilo? Nafikiri anatahadharisha kwamba, kama unakua na mtu, kuwa nae kwa sababu unampenda ila sio kwa kutarajia utafanikiwa kama yeye alivyo.

Na kama nimeelewa vizuri, kiingereza nacho sio mchezo, hajamaanisha kuolewa na mtu, la hasha amesisitiza kutembea na mtu. Usijekujirahisi ukaliwa na mtu mwenye mafanikio ukifikiri na wewe utafanikiwa.
 
Back
Top Bottom