Zari: Success is not sexually transmitted !

Zari: Success is not sexually transmitted !

Eti anasema "MAFANIKIO sio kama magonjwa ya zinaa, kwamba ukijamiiana na mwenye gonjwa lake, basi utaambukizwa"
# Nawakilisha

Asante ndugu. Hawa wengine wananibeza wakati mi naomba msaada wa tafsiri. Unajua wengine tunaelewa kiinglish cha Van Damme na Chuck Norris tu kwenye makareti yao.
 
Ur wrong my dear,they started from nothing to something,hakuenda kwa ivan kwa ajili ya pesa walizitafuta wote,hapa ndo ule msemo ili ufanikiwe unahitaji mwanamke mzuri upstairs.
hakuna kitu kama hicho...Ivan alishapata hela South kwa deal zake za fake sangoma ila sio kihivyoo na Zari alikuwa musician hata Amber Lulu anamzidi ndio jamaa akabeba
 
31198375_199980300612660_6447836154384351232_n.jpg

hakuna kitu kama hicho...Ivan alishapata hela South kwa deal zake za fake sangoma ila sio kihivyoo na Zari alikuwa musician hata Amber Lulu anamzidi ndio jamaa akabeba
 
warumi sikia, changu Hamisa si hasimu wa Zari kwani Zari anamzidi kwa kila kitu. Hamisa anategemea kuchezewa na kuhongwa mwenziwe yuko matawi ya juu akitengeneza hela. Kuna mwanamke anayejitambua na asiyejitambua....uliza mwanamme yeyote yule angependa kuwa na demu gani kati ya Zari na Hamisa.....ndipo utajuwa kuwa Hamisa ni kigarasa tu. Ndoto ya kila mwanamme ni kuwa na mwanamke si tegemezi na mwenye mshiko wa nguvu kama Zari. Wivu unawaua tu mademu wa kibongo haswa Hamisa mwenyewe (Mama Sabrina).
 
Ur wrong my dear,they started from nothing to something,hakuenda kwa ivan kwa ajili ya pesa walizitafuta wote,hapa ndo ule msemo ili ufanikiwe unahitaji mwanamke mzuri upstairs.

Sizani! Kwani na Dai wamekaa Kwenye uhusiano Kwa muda gani hadi kuachana?
Ndani ya muda huo mfupi tayari alishamrubuni kijana wa watu kwenda kumnunulia bonge la jumba Kwa bei kubwa A Mansion!
Na ukitaka atoke povu Siku hizi ulizia Hilo swala utamuona atakavyochukia!
Na hili huenda ni swala linalomuuma Dai!
Wengine walikuwa wakisema Zari anampenda sana Dai, watu wakauliza anampenda Kweli au kafata pesa?
Wakasema Kama ni pesa Zari anazo [emoji87]
Mtu akasema mnafahamu kuhusu wealth maximization theory?
Ndani ya muda mfupi Dai kashapigwa bao!
Unaambiwa jumba la kule bondeni Hata ya Dai ya hapa haioni ndani!
 
Back
Top Bottom