Zari: Success is not sexually transmitted !

Kabisa maana nikimuangalia zara ni mwembamba na mumewe pia mwembamba so watoto kuwa vibonge labda ukubwan,hawa watu walikua wanamsema zari kuzaa watoto weusi,kapata akina tiffa nillan weupe wamegeukia watoto wa ndugu wa zari
Halafu watoto wa Zara hawana kwashiokor it's their bodies structures.. Wana small body frame
 
Yaan mara mbona mnamchukia wema mara mara hamisa hawaelewek hasa wanamtetea nani ili mradi wanajitafutia ka sababu ka kumchukia zari
Wapi umeona nikimchukia Hamisa mama [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa hiyo wewe ili kumpenda Hamisa lazima umchukie Zari [emoji23][emoji23][emoji23] Doh kazi unayo.
 
Yaan mara mbona mnamchukia wema mara mara hamisa hawaelewek hasa wanamtetea nani ili mradi wanajitafutia ka sababu ka kumchukia zari
Hapo sasa Mwanamke anaye mchukia Zari ana Wivu tu na si kingine [emoji23] anaweza kumpenda Hamisa na Wema bila kumchukia Zari.
Huyu mwanamke kwake kuna mengi ya kujifunza kuliko chuki.
 
Halafu hawampend hamisa bali unafiki tu,hamisa wao kafungua duka la nguo sion anaepost hata uzi wa kumsifia kafungua biashara,juzi kati kawa jaji wa shindano la umiss watu kimya ila dili za zari zinawatoa jasho la ulimi kutwa kutafuta maneno makali ya kumshusha
Hapo sasa Mwanamke anaye mchukia Zari ana Wivu tu na si kingine [emoji23] anaweza kumpenda Hamisa na Wema bila kumchukia Zari.
Huyu mwanamke kwake kuna mengi ya kujifunza kuliko chuki.
 
Kabisa maana nikimuangalia zara ni mwembamba na mumewe pia mwembamba so watoto kuwa vibonge labda ukubwan,hawa watu walikua wanamsema zari kuzaa watoto weusi,kapata akina tiffa nillan weupe wamegeukia watoto wa ndugu wa zari
Hahhahahaha.. Too sad Kwa Kweli.. Mi kuna mambo mengi sana najifunza toka Kwa huyu dada....
 
Halafu hawampend hamisa bali unafiki tu,hamisa wao kafungua duka la nguo sion anaepost hata uzi wa kumsifia kafungua biashara,juzi kati kawa jaji wa shindano la umiss watu kimya ila dili za zari zinawatoa jasho la ulimi kutwa kutafuta maneno makali ya kumshusha
Too much negative energy is being used to pull Zari off the track... But she's still moving forward
 
Sure.. Mi najifunza mengi sana toka kwake...
Wanawake itachukua muda sana kufanikiwa sababu hatupendani. Tunajua kutafuta kasoro ambazo hata hazipo kwa sababu tu ya chuki binafsi. Badala ya kutumia huo muda kujifunza.Acha sisi tuendelee kujifunza.
 
Halafu hawampend hamisa bali unafiki tu,hamisa wao kafungua duka la nguo sion anaepost hata uzi wa kumsifia kafungua biashara,juzi kati kawa jaji wa shindano la umiss watu kimya ila dili za zari zinawatoa jasho la ulimi kutwa kutafuta maneno makali ya kumshusha
Point, nimekupenda bure
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watatoka hadi jasho la meno.
Zari ni zaidi ya mwanamke. Wanavyozidi kumchukia wanazidi kujiumiza tu maana analolifanya kesho yake ni kubwa zaidi ya alilofanya jana.
 
Safari ni ndefu sana kwa wanawake.... In short the lady is living large... In the past three days ametrend sana
Katrend kumshinda ht mond waliekuwa wanasema ndio kampaisha.
Km mond anapaisha watu,mimba misa hajawin kutrend kwenye social media.
Huyu mama ana nyota tu na ana akili sana na uzuri wake vyote anajua kuvitumia kupiga dili za hela.
 
Hakika, mond mwenyewe hapo atakuwa anatamani kurudiana nae ila basi tu hana Uwezo.
Thubutuuuuu mwanaume kakuacha hata msamaha hajawahi kuombwa wlaa kubembelezwa warudiane angalia BBC alivyosema mpaka kujiliza [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na siku mondi akiongea mtaliaa maana anamchokonoaa na mond akimtaka zari zari hana ubavu wa kukataa
 
Back
Top Bottom