Zari: Success is not sexually transmitted !

Juzi kasema she's 37 turning 38 September... And she doesn't care hata watu wakisema she's 100
Wao na utoto wao wana kipi cha maana walichofanya, kwanza hakuna star wa kike Tz anaekula raha km huyu Dada. Maisha yake safi, watoto wanasoma shule nzuri. Ana mkwanja wa kutosha.
Acha waendelee kumsema, ila mwenzao ndio keshawapiga gap,kwanza mwenzao ni mkuu wa chuo. Wenyewe usikute hata u class monitor tu hawakuwahi kuupata.
 
She is living a posh life... Mpaka natamani ningefikia hata sehemu ya hayo maisha....
 
Amshukuru tu Marehemu kwa kumweka kwenye la sivyo angekua kama yule dada ake tu! [HASHTAG]#nohardfeelings[/HASHTAG]
 
Sure she's a full package...
Ana trend kwa sababu bado watu hawaamini kama kwl domo kasham~dump, ile attention ya kuachana na mond bado ipo ndo anamotembelea mule mule. But ni swala la mda tu ndo mwalimu tosha tutajua mbivu na mbichi.

Hata wema kipindi anabwagana na domo alivuma kisenge team wema ilikuwa haishikiki mpk ikafikia kipindi watu wanadai domo alikuwa anatembelea nyota ya wema, lakini kiko wapi nani bado yupo on top mpk mda huu.
 
It's up to you to correct..... I'm neither your teacher nor your student....
[emoji23][emoji23][emoji23]so its better for you to use your motherz tongue language!viingireza hivi tumuachie Zarii bibie!punguza povu

Iko hivi Maisha ya Zari huyajui, na hata hakujui wote tunaishia tu kumsoma humu mitandaoni!!kusema sijui kapambana na mme wake ukweli wanaujua wenyewe aliyekua Sangoma.
 
Whether he was a sangoma au la but the lady kawazidi na inawauma.... Pambana na hali yako bibie....

Acha kujifanya kuponda, not healthy for you..... Epuka negative energy.... Jitahidi uwe positive God will bless you abundantly...
 
Haters bana kwanza zari kasomeshwa mamton na wazazi wake ina maana ivan aliwasaidia wazazi wa zari kumsomesha huko majuu?
Halafu she has been living large since years... Tatizo watu mmemjua juzi akiwa na diamond....
 
[emoji23][emoji23][emoji23]so its better for you to use your motherz tongue language!viingireza hivi tumuachie Zarii bibie!punguza povu

Iko hivi Maisha ya Zari huyajui, na hata hakujui wote tunaishia tu kumsoma humu mitandaoni!!kusema sijui kapambana na mme wake ukweli wanaujua wenyewe aliyekua Sangoma.
Kuna ndugu zake humu.
 
Back
Top Bottom