Tatizo mfumo utakuta tumeoana hatuna kitu najibana kama mwanamke napigana huku na kule tutafute mali,ila tukifanikiwa anayepewa kipaumbele mwanaume,siku zote waafrika mafanikio ya mwanamke recognized when she is single,ukiolewa mafanikio ni ya mwanaume.
Na hii ndo inapopelekea wadada wamama waone bora kuwa na mwenye pesa kuliko kutafuta wote.
Zari yeye alishakuwa na mali walizotafuta na ivan,hawezi kurudia tena kuhangaika na wanaume wasiojiweza kiuchumi,kama kushinda njaa alishashinda kama dagaa keshakula sasa hivi ni kudate wealth man tu,hata siku moja hawezi kuwa na maskini