[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watatoka hadi jasho la meno.
Zari ni zaidi ya mwanamke. Wanavyozidi kumchukia wanazidi kujiumiza tu maana analolifanya kesho yake ni kubwa zaidi ya alilofanya jana.
Amepoteza dhahabu.Hakika, mond mwenyewe hapo atakuwa anatamani kurudiana nae ila basi tu hana Uwezo.
Hakika, mond mwenyewe hapo atakuwa anatamani kurudiana nae ila basi tu hana Uwezo.
Sidhan km zari ana shida na mond tena. Km aliweza kumuacha the don sidhani km hapa anapata shida, na kumuongelea ni kwsbb anaulizwa na watangazaji. Kwhy we unataka asijibu maswali ili iweje?Thubutuuuuu mwanaume kakuacha hata msamaha hajawahi kuombwa wlaa kubembelezwa warudiane angalia BBC alivyosema mpaka kujiliza [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na siku mondi akiongea mtaliaa maana anamchokonoaa na mond akimtaka zari zari hana ubavu wa kukataa
Lazima ajibu ,kumuongelea ongelea ni anataka daimond amsikilize amtafute,Daimond hana habari na zari muacheni awe na mabinti size yake jamani zari atapata wa kufanana nae msijaliSidhan km zari ana shida na mond tena. Km aliweza kumuacha the don sidhani km hapa anapata shida, na kumuongelea ni kwsbb anaulizwa na watangazaji. Kwhy we unataka asijibu maswali ili iweje?
Kwanza sidhani km dai ana faida tena kwenye maisha ya Zari, the don aliachwa sembuse dai.Hawa wamebaki dai dai haombi msamaha siku akija omba sijui watajifichia wapi,nimetunza screenshots hapa,patachimbika siku hio na zari akikataa itakua poa zaidi
Kwanza sidhani km dai ana faida tena kwenye maisha ya Zari, the don aliachwa sembuse dai.
Hapo sasa, ajabu kweli kweli yaanKabisa halafu wanalazimisha ionekane dai kamuacha zari wakati ukweli unafahamika na kila mtu kupitia ua jeusi.
For sure.... Tubadili mind set tujikomboe kwenye uchumi.Wanawake itachukua muda sana kufanikiwa sababu hatupendani. Tunajua kutafuta kasoro ambazo hata hazipo kwa sababu tu ya chuki binafsi. Badala ya kutumia huo muda kujifunza.Acha sisi tuendelee kujifunza.
Wote na Ivan walianzia chini. Hakumkuta na pesa Ivan. Pia trust me Zari angekuwa hayupo vizuri kichwan hata hizo mali alizokuwa anamiliki na Ivan angekuwa kazipukutisha kwa kiasi kikubwa. So anastahili pongezi zake sanaBila Ivan ungekuwa huna kituuu hata mi Za G nazimiliki basi na boss lady
Sure she's a full package...Katrend kumshinda ht mond waliekuwa wanasema ndio kampaisha.
Km mond anapaisha watu,mimba misa hajawin kutrend kwenye social media.
Huyu mama ana nyota tu na ana akili sana na uzuri wake vyote anajua kuvitumia kupiga dili za hela.
Sure.. Wao ndio wanauliza na anajibu kiakili tuSidhan km zari ana shida na mond tena. Km aliweza kumuacha the don sidhani km hapa anapata shida, na kumuongelea ni kwsbb anaulizwa na watangazaji. Kwhy we unataka asijibu maswali ili iweje?
Na alimwacha Don(Rip) akiwa kwenye peak... Sembuse DaiKwanza sidhani km dai ana faida tena kwenye maisha ya Zari, the don aliachwa sembuse dai.
[emoji144]For sure.... Tubadili mind set tujikomboe kwenye uchumi.
Umesema ukweli mtupu.Wote na Ivan walianzia chini. Hakumkuta na pesa Ivan. Pia trust me Zari angekuwa hayupo vizuri kichwan hata hizo mali alizokuwa anamiliki na Ivan angekuwa kazipukutisha kwa kiasi kikubwa. So anastahili pongezi zake sana
Aliachwa Don itakuwa Mond. Zari ni zaidi ya mwanamke. Wana kazi yakumuita mzee tu utasema uzee ni kansa [emoji23][emoji23][emoji23]Kwanza sidhani km dai ana faida tena kwenye maisha ya Zari, the don aliachwa sembuse dai.
Dah...nadhani anaongelea magonjwa ya zinaa ya kuambukiza yanayojirudia.....[emoji12]Kiingereza kinanipiga chenga, naomba tafsiri ya kiswahili tafadhari.
Wivu tu unawasumbua, acha waendelee kumdanganya misa mtoto sijui ana utoto gani atakuja kustua jua limezama.Aliachwa Don itakuwa Mond. Zari ni zaidi ya mwanamke. Wana kazi yakumuita mzee tu utasema uzee ni kansa [emoji23][emoji23][emoji23]
Juzi kasema she's 37 turning 38 September... And she doesn't care hata watu wakisema she's 100Aliachwa Don itakuwa Mond. Zari ni zaidi ya mwanamke. Wana kazi yakumuita mzee tu utasema uzee ni kansa [emoji23][emoji23][emoji23]
Hapo sasa wanapiga mikelele isiyo na msingi badala wawe na wivu wa maendeleo.Juzi kasema she's 37 turning 38 September... And she doesn't care hata watu wakisema she's 100