Wangemfundisha hata huyo Misa ajifunze kwa Zari kuliko kutwa kumfundisha chuki tu.Wivu tu unawasumbua, acha waendelee kumdanganya misa mtoto sijui ana utoto gani atakuja kustua jua limezama.
Wao na utoto wao wana kipi cha maana walichofanya, kwanza hakuna star wa kike Tz anaekula raha km huyu Dada. Maisha yake safi, watoto wanasoma shule nzuri. Ana mkwanja wa kutosha.Juzi kasema she's 37 turning 38 September... And she doesn't care hata watu wakisema she's 100
Kweli kbs, na chenyewe kilivyo sasa basi ndio kina najikuta eti level moja na zari bila ht haya. Kutwa kushindana nae na wakati mwenzake ni next level.Wangemfundisha hata huyo Misa ajifunze kwa Zari kuliko kutwa kumfundisha chuki tu.
She is living a posh life... Mpaka natamani ningefikia hata sehemu ya hayo maisha....Wao na utoto wao wana kipi cha maana walichofanya, kwanza hakuna star wa kike Tz anaekula raha km huyu Dada. Maisha yake safi, watoto wanasoma shule nzuri. Ana mkwanja wa kutosha.
Acha waendelee kumsema, ila mwenzao ndio keshawapiga gap,kwanza mwenzao ni mkuu wa chuo. Wenyewe usikute hata u class monitor tu hawakuwahi kuupata.
Huyo marehemu wamehussle wote... Hakumkuta na hela....Amshukuru tu Marehemu kwa kumweka kwenye la sivyo angekua kama yule dada ake tu! [HASHTAG]#nohardfeelings[/HASHTAG]
Halafu she has been living large since years... Tatizo watu mmemjua juzi akiwa na diamond....Amshukuru tu Marehemu kwa kumweka kwenye la sivyo angekua kama yule dada ake tu! [HASHTAG]#nohardfeelings[/HASHTAG]
kwahyo walipambana wote kwenye usangoma huko SouthAfrica?Huyo marehemu wamehussle wote... Hakumkuta na hela....
She was his wife for like 14 years .. What's the role do you think she played in his life?kwahyo walipambana wote kwenye usangoma huko SouthAfrica?
Ana trend kwa sababu bado watu hawaamini kama kwl domo kasham~dump, ile attention ya kuachana na mond bado ipo ndo anamotembelea mule mule. But ni swala la mda tu ndo mwalimu tosha tutajua mbivu na mbichi.Sure she's a full package...
Corrects your grammar Madam!I have failed to understand what do you mean.She was his wife for like 14 years .. What's the role do you think she played in his life?
It's up to you to correct..... I'm neither your teacher nor your student....Corrects your grammar Madam!I have failed to understand what do you mean.
[emoji23][emoji23][emoji23]so its better for you to use your motherz tongue language!viingireza hivi tumuachie Zarii bibie!punguza povuIt's up to you to correct..... I'm neither your teacher nor your student....
Whether he was a sangoma au la but the lady kawazidi na inawauma.... Pambana na hali yako bibie....[emoji23][emoji23][emoji23]so its better for you to use your motherz tongue language!viingireza hivi tumuachie Zarii bibie!punguza povu
Iko hivi Maisha ya Zari huyajui, na hata hakujui wote tunaishia tu kumsoma humu mitandaoni!!kusema sijui kapambana na mme wake ukweli wanaujua wenyewe aliyekua Sangoma.
What if ukianza wewe kufa?Hata mi ntarithi za G na nitawaandikia hivyoo msijalii,mme wangu nae ni don tuu wala msijali ,hii miezi nambebeaa mimba
Halafu she has been living large since years... Tatizo watu mmemjua juzi akiwa na diamond....
Cocochanel kulikoni umepotea hivyo?MUDA mrefu sijakuona ukiwapigia debe Jiwe na Bashite au wamekuzika posho nini?Alishaiandika kabla na ni amerudia tena
Ukweli haswaaaa huo.. wengi lazima wanune
Cocochanel kulikoni umepotea hivyo?MUDA mrefu sijakuona ukiwapigia debe Jiwe na Bashite au wamekuzika posho nini?
Kuna ndugu zake humu.[emoji23][emoji23][emoji23]so its better for you to use your motherz tongue language!viingireza hivi tumuachie Zarii bibie!punguza povu
Iko hivi Maisha ya Zari huyajui, na hata hakujui wote tunaishia tu kumsoma humu mitandaoni!!kusema sijui kapambana na mme wake ukweli wanaujua wenyewe aliyekua Sangoma.