Zari: Success is not sexually transmitted !

Zari: Success is not sexually transmitted !

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Kupitia ukurusa wake wa instagram , mjasiriamali maarufu na mzazi mwenzie na diamond Platnum's, zari the bosslady aka kiboko ya masista duu africa mashariki, amepost ujumbe wenye UTATA na kuwaacha mashabiki wake kwenya hali ya sintofahamu kuhusu caption yake hiyo, ambayo wapeku Peku wanadai unaweza kuwa ujumbe wa hasimu wak hamissa mobeto, kuwa asidhanie kuwa mafanikio yanaambukizwa au huja kwa njia ya kufanya ngono na mtu aliyefanikiwa .

Hiyo tafsiri ni kwa mujibu ya wapeku peku akina warumi, hatujajua kama zari alilenga kumponda mtu au ujumbe tu wa kawaida

IMG_3392.JPG
 
Kiingereza kinanipiga chenga, naomba tafsiri ya kiswahili tafadhari.
 
Mama tee hyo caption nimeipenda Leo umejua kunikuna, umegusa mule mule, Leo lazima mtu apate homa ya tumbo la uzazi
Nyuzi zinazomuhusu zary ,huwa zinapata wachangiaji wengi sana.

Ila hii wanajifanya hawajaiona ,wanasoma nakupita kimya kimya.

Nakaziaaa,....Success is not sexually transmitted ..so girlz acheni kufanya ngono nawanaume walofanikiwa hoping nanyinyi kufanikiwa.

Hata ukikaa karibu na waridi ,huwezi kufanikiwa linapokuja suala la mafanikio,hutonukia ng'o
 
Kipi chake alichofanikiwaa
basi hata mi G ananirithisha mali zake nami bosslady
Hatimaye umekuja sasa !!!.

Unahisi unanguvu nauwezo wakusimama, nakuongea kauli kama hiyo mbele ya wanawake wenzako????

Hapa usitafasiri km amewapa dongo nooooo...... Anajaribh kuwainspire nakuhimiza umuhim wa mwanamke kuhangaika sana ili ajijengee ufalme wake yakwamba hata bila Ivan bado angekua na fortune yake.

Thats Zarieth the boss lady ,yupo makini kuanzia kichwan mpaka kuchani.
 
Hata mi ntarithi za G na nitawaandikia hivyoo msijalii,mme wangu nae ni don tuu wala msijali ,hii miezi nambebeaa mimba
 
Hakuna zari anachomili hapo kakifanikisha ni mali za ivan,hata mi mme wangu sio maskini ntamzalia wawili narithi mpoooo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nawanyeaaa mbwaaa nyie
 
Back
Top Bottom