Zari 'The Boss Lady' VS Chagga Barbie 'Muke ya Mganda'

Mi hata sielewi!!! Hawa ni akina nani???
 
hahaaaaaaaa poa Binamu...... mie hapa kazi hazifanyiki tena
nasubiria umbea wa Katunzi tu

Katunzi kazua balaa, save the name binamu, weka jina kabisa kwenye ubongo wako, anayetufungulia pazia leo si mwingine bali katunzi, unataka kujua katunzi ni nani? Na kwa nini ahusishwe na mimba ya zari? Baki apa apa ushuhudie mechi za watoto wa mujini
 
Ni mtoto wa kike, nahisi Zari kafurahi na hivi anawakiume tu

Mungu hawezi kukupa kila kitu, kuna baadhi ya vitu inabidi tu ukubali kuwa huna, zari ni mwanamke mzuri sana kwa sura ila kwa hichi anachomfnyia mwenzie wakati anajua kabisa kabeba damu ya mwanaume mwingine
 
Asanteeeee

Mie nililiona hili

Na hata ukitizama pics zao unaona ni nyumba moja.....wanapiga angle tofauti

Hawa waganda wametumia ushabiki maandazi wa wabongo kutafuta umaarufu kwa sababu zao wenyeww.....

unajua nn mkuu hii sinema ya Zari na diamond watu wengi hawaifahamu haswa watanzania ila wachache wanaifaham haswa waganda na baadhi ya wakenya kuna siku huddah menroe alipost picha ya Zari akacomment kua let the pregnancy grow and the dumb man keep knowing that he is responsible for it,....we create much in keeping their intensions on us without them knowing that..kidogo zari akacomment kwa page ya huddah akasema let me talk to you personal darling iyo post ikafutwa within a minute....haikukaa ata kidogo na sikufikiri kuiscrean shot nikasema ngoja movie iendelee badae nachek sikuiona tena


ukweli ni kwamba kweli zari ana mimba lakin sio ya diamond narudia tena at the end diamond ataloose kwenye haka kamchezo
 

Heaven on Earth Dinazarde Lady kim Madame B nifah ebu piteni apa mpate supu ya ulimi na chapati mbili mbili kwanza maana movie inanoga

Watu wengi hawakuipata hyo binamu, baba watoto katulia zake anamwangalia tu diamond anavyoweweseka kama ana dege dege, mkitaka umbea kamili huddah anao, anajifanya best wa zari ila siku wakizinguana ndo itajulikana
 
Last edited by a moderator:
Jamani mtajeni basi raha ya umbea kumjua muhusika
 
Last edited by a moderator:

mmmmmmhhhhhj
 

Nakwambia siamini siamini miaka mia naneeewe! Japo Nassib simfagilii ila du siamini na wala sitaki iwe ivoooo
NAKWAMBIAJE THIS IS FALSE
 
Last edited by a moderator:

ubuyu fisr class huu.......... Haaaaaa jamaa anachezewa vibaya jamani khaaaa
 
Mhuuu Katunzi tena! Nakataa
Team Wema ni watu wa ajabu sana.Baada ya kumpigja Debe Wema akauze kule ikashindikana nw wanamwandama Zari.
Koku muke ya Govinda anasema Zari,Chibu n sintah ndio wenye account ya who_is_the_boss! Nonsense
Mange huwa anafaulu kwa ku use informantions chafu against adui zake.anatumiwa na watu ambao ni maadui wa hao watu.
 
Last edited by a moderator:

Binamu hapa sasa ndio ninapokuelewa linapokuja swala la Katunzi

Zari kajua kula na kipofu.......... mie kuna vitu nilijiulizaga hapa naanza kupata majibu
 
Alaf aliweka picha chafu nyingi za zari ukweli ni kwamba alipewa izo picha na Lawrence sio Ivan ila nilichelewa ku screen shot nadhan kwaleo izo zayosha ama neeeeeeeene

hizo picha za zamani zishakua outdated team pwanya road washaziweka hadi wakachoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…