Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
haaaaaaaaaa ye mwenyewe kadata anamsubiria chibu junior
hahaaaaaaaa poa Binamu...... mie hapa kazi hazifanyiki tena
nasubiria umbea wa Katunzi tu
Chagga bibi hana hadhi ya kugombana na zari, zari mzungu hanaga uswahili, angetukodisha sisi tumuonyeshe kazi kidogo, mbona angerudi uchagani bila kupenda
Ni mtoto wa kike, nahisi Zari kafurahi na hivi anawakiume tu
Asanteeeee
Mie nililiona hili
Na hata ukitizama pics zao unaona ni nyumba moja.....wanapiga angle tofauti
Hawa waganda wametumia ushabiki maandazi wa wabongo kutafuta umaarufu kwa sababu zao wenyeww.....
unajua nn mkuu hii sinema ya Zari na diamond watu wengi hawaifahamu haswa watanzania ila wachache wanaifaham haswa waganda na baadhi ya wakenya kuna siku huddah menroe alipost picha ya Zari akacomment kua let the pregnancy grow and the dumb man keep knowing that he is responsible for it,....we create much in keeping their intensions on us without them knowing that..kidogo zari akacomment kwa page ya huddah akasema let me talk to you personal darling iyo post ikafutwa within a minute....haikukaa ata kidogo na sikufikiri kuiscrean shot nikasema ngoja movie iendelee badae nachek sikuiona tena
ukweli ni kwamba kweli zari ana mimba lakin sio ya diamond narudia tena at the end diamond ataloose kwenye haka kamchezo
Jamani mtajeni basi raha ya umbea kumjua muhusikaHeaven on Earth Dinazarde Lady kim Madame B nifah ebu piteni apa mpate supu ya ulimi na chapati mbili mbili kwanza maana movie inanoga
Watu wengi hawakuipata hyo binamu, baba watoto katulia zake anamwangalia tu diamond anavyoweweseka kama ana dege dege, mkitaka umbea kamili huddah anao, anajifanya best wa zari ila siku wakizinguana ndo itajulikana
unajua nn mkuu hii sinema ya Zari na diamond watu wengi hawaifahamu haswa watanzania ila wachache wanaifaham haswa waganda na baadhi ya wakenya kuna siku huddah menroe alipost picha ya Zari akacomment kua let the pregnancy grow and the dumb man keep knowing that he is responsible for it,....we create much in keeping their intensions on us without them knowing that..kidogo zari akacomment kwa page ya huddah akasema let me talk to you personal darling iyo post ikafutwa within a minute....haikukaa ata kidogo na sikufikiri kuiscrean shot nikasema ngoja movie iendelee badae nachek sikuiona tena
ukweli ni kwamba kweli zari ana mimba lakin sio ya diamond narudia tena at the end diamond ataloose kwenye haka kamchezo
Mange mkomavu kaingilia show....uwiiii, popcorn wapi.
Heaven on Earth Dinazarde Lady kim Madame B nifah ebu piteni apa mpate supu ya ulimi na chapati mbili mbili kwanza maana movie inanoga
Watu wengi hawakuipata hyo binamu, baba watoto katulia zake anamwangalia tu diamond anavyoweweseka kama ana dege dege, mkitaka umbea kamili huddah anao, anajifanya best wa zari ila siku wakizinguana ndo itajulikana
unajua nn mkuu hii sinema ya zari na diamond watu wengi hawaifahamu haswa watanzania ila wachache wanaifaham haswa waganda na baadhi ya wakenya kuna siku huddah menroe alipost picha ya zari akacomment kua let the pregnancy grow and the dumb man keep knowing that he is responsible for it,....we create much in keeping their intensions on us without them knowing that..kidogo zari akacomment kwa page ya huddah akasema let me talk to you personal darling iyo post ikafutwa within a minute....haikukaa ata kidogo na sikufikiri kuiscrean shot nikasema ngoja movie iendelee badae nachek sikuiona tena
ukweli ni kwamba kweli zari ana mimba lakin sio ya diamond narudia tena at the end diamond ataloose kwenye haka kamchezo
Heaven on Earth Dinazarde Lady kim Madame B nifah ebu piteni apa mpate supu ya ulimi na chapati mbili mbili kwanza maana movie inanoga
Watu wengi hawakuipata hyo binamu, baba watoto katulia zake anamwangalia tu diamond anavyoweweseka kama ana dege dege, mkitaka umbea kamili huddah anao, anajifanya best wa zari ila siku wakizinguana ndo itajulikana
Alaf aliweka picha chafu nyingi za zari ukweli ni kwamba alipewa izo picha na Lawrence sio Ivan ila nilichelewa ku screen shot nadhan kwaleo izo zayosha ama neeeeeeeene
warumi utasutwa na matarumbeta ha ha ha ulimshikia mguuPoint of correction, mimba sio ya diamond, ni ya katunzi, habar ndo hyo