Zari 'The Boss Lady' VS Chagga Barbie 'Muke ya Mganda'

Zari 'The Boss Lady' VS Chagga Barbie 'Muke ya Mganda'

Yaani kabisa na wewe unaamini kwamba mimba ni ya Katunzi? hahahahaha, kweli haya ni mahaba first class halafu ulivyo na changamoto ngumu siku hizi manake unalazimika ku-balance mahaba kwa Chibu na kwa Wema!!! HOE rafiki yangu, kubali tu matokeo kwamba kwa sasa Wema na Chibu ndo basi tena, asubiri tu wakati mwingine labda watarejeana! By the way, ukiwa unaamini ni ya Katunzi, ni kitu gani kinaweza kukufanya usiamini kwamba ni ya Diamond? Au Diamond hajawahi kummega Zari?

Wema sepetu, the woman who knows more about the game, the woman who knows more about diamond, the woman who knows more about zaris pregnancy. KATUNZI ndio jina la mchezo
 
Katunzi ni nani? Ni mwanaume wa aina gani? Kwa nini ahusishwe na mimba ya zari? KATUNZI, save the name
Mpwa, si wewe wala yeyote atakayekuwa na uwezo wa kuthibitisha ukweli wa mimba ya Zari unless kama unataka kuniambia una kipima DNA chenye Bluetooth, otherwise, huwezi kuwa na ushahidi mpwa vinginevyo utaishia tu kutoa blah blah, basi! Ndo kama nilivyomuuliza Heaven on Earth, hebu na wewe nisaidie: Ni nini kinakufanya uamni mimba ni ya Katunzi na nini kinakufanya usiamini kwamba mimba ya ni Chibu? Au unataka kuleta zile zilipendwa za kwamba Diamond hana uwezo wa kupiga mimba ingawaje hatujaona uthibitisho wa kitaalamu!!!
 
Last edited by a moderator:
geniveros, kuna mjinga mjinga kule kwa Sintah anatumia id yako afu unfortunately enough ana chuki na Natalia, naona kumface huku hawez anajifanya ndo wewe kumponda natalia.
Huyo kidampa anakosea sana.

sijui ana shida gani na mimi huyu mtu ila alitakalo halitotimia@Natalia sina ubaya na wewe wala yeyote jf hadi nkutukane kwa sintah
na wewe unaetumia id yangu km mkristo huu mwezi ni mtakatifu kwako kua mwema na km muslim leo ijumaa
OGOPA MUNGU NA AMINI UTALIPWA SIKU MOJA
 
Hao wanakosa majina mpaka wanatumia yetu namuona sana huyo geniveroz hhhhhhaaaa,hata mi kuna mmoja alijiandika dinazarde halaf akamchamba mrembo by nature hhhhaa
 
Poleni

Ila si mnajua watz hawana ubunifu????

Ndio maana ukianzisha biashara ndani ya wiki utakuta utiriri wa watu wamekugeza

sijui ana shida gani na mimi huyu mtu ila alitakalo halitotimia@Natalia sina ubaya na wewe wala yeyote jf hadi nkutukane kwa sintah
na wewe unaetumia id yangu km mkristo huu mwezi ni mtakatifu kwako kua mwema na km muslim leo ijumaa
OGOPA MUNGU NA AMINI UTALIPWA SIKU MOJA

Hao wanakosa majina mpaka wanatumia yetu namuona sana huyo geniveroz hhhhhhaaaa,hata mi kuna mmoja alijiandika dinazarde halaf akamchamba mrembo by nature hhhhaa
 
Mpwa, si wewe wala yeyote atakayekuwa na uwezo wa kuthibitisha ukweli wa mimba ya Zari unless kama unataka kuniambia una kipima DNA chenye Bluetooth, otherwise, huwezi kuwa na ushahidi mpwa vinginevyo utaishia tu kutoa blah blah, basi! Ndo kama nilivyomuuliza Heaven on Earth, hebu na wewe nisaidie: Ni nini kinakufanya uamni mimba ni ya Katunzi na nini kinakufanya usiamini kwamba mimba ya ni Chibu? Au unataka kuleta zile zilipendwa za kwamba Diamond hana uwezo wa kupiga mimba ingawaje hatujaona uthibitisho wa kitaalamu!!!

Mbea hadanganyagi binamu, na sio kila kitu unachosikia lazima ukiamini au kukitilia maana, bali ni ALERT ambapo baadae ikija kuthibitishwa ndo unaanza sasa kuunganisha vipande vya filamu kuwa aah kumbe warumi umbea wake ulikuwa kweli?

Mimba ya aunty ezekiel ilianza kutajwa toka ina miezi michache, ambapo haiwezi kujulikana, wambea tukazusha kuwa ana mimba na mwenyewe akakataa, je sasa ivi unamuonaje aunty? Tuache wambea na kazi yetu, au kuna MAHAKAMA YA WAMBEA utupeleke kisa hatuna ushahidi?

Ya siwema na obasanjo kwani siwema mwenyewe alisema kuwa anagongwa na obasanjo? Ilikuwaje ikajulikana? Acha kudharau kazi za umbea za watu, tunajua tunachokifanya.

MImi humu nawasiliana na kila mtu, mastaa, watu wa kawaida, so kuwa mpole mbea hafungwi, na sio lazima unachokisikia
 
Last edited by a moderator:
Mimi siamini mimba iwe ya mwanaume mwingine halaf huyo mwanaume akubali mimba ibemendwe na daimond neh nehi papaaaa,hata ikiwa hivyo anajidanganya zari mwenyewee

Kama alimshindwa mwanaume aliyekuwa anampa kila kitu pamoja na utajiri wa kutisha, atamuweza diamond mtoto wa tandale? #KATUNZI , Coming soon
 
Kama alimshindwa mwanaume aliyekuwa anampa kila kitu pamoja na utajiri wa kutisha, atamuweza diamond mtoto wa tandale? #KATUNZI , Coming soon

Ivan alikaa nae muda mrefu,ana mkono wa kupiga,manyanyaso zari alivumilia akshindwa akaona ajisepee ulitakaa akae nae milele ni mama yake yule au kazaliwa naee,mwanaume akikuchosha tupa kule vuta kitu kipya kitakachokufurahisha hua tunataka furaha bana sio mahela tu,halaf daimond anajua kuhandle jamanii duuuu ndio maana wema hudata kiruuuuuu
 
Back
Top Bottom