binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 11,201
- 28,642
Yaani kabisa na wewe unaamini kwamba mimba ni ya Katunzi? hahahahaha, kweli haya ni mahaba first class halafu ulivyo na changamoto ngumu siku hizi manake unalazimika ku-balance mahaba kwa Chibu na kwa Wema!!! HOE rafiki yangu, kubali tu matokeo kwamba kwa sasa Wema na Chibu ndo basi tena, asubiri tu wakati mwingine labda watarejeana! By the way, ukiwa unaamini ni ya Katunzi, ni kitu gani kinaweza kukufanya usiamini kwamba ni ya Diamond? Au Diamond hajawahi kummega Zari?
Hahahaaa u kill it rafiki! chige Ndo maana huwa nakupenda. Chibu akivamiwa tu unakuja chap ku balance story, afu hunaga biases kabisa. Alosema mimba ya katunzi ni adui wa zari ni nani mwenye akili timamu kuamini? Kwa fact zipi labda? Ndo hizo za chibu hazalishi au? Hao mademu wa chibu walosema chibu hazalishi ni yupi kati yao ameshabeba mimba ya mwanaume mwingine? Mfyuuuuuuuuuuuuu😏😏😏😏😏😏😏😏😏😏. Afu kwa guts zipi zari akawa anamperemba Dai ili alelee ujauzito usiokuwa wake? Ndo kusema kati ya wanaume wote wa Zari chibu anahela sana hadi asingiziwe mimba au? NO Hell noooooo.
Last edited by a moderator: