Zari 'The Boss Lady' VS Chagga Barbie 'Muke ya Mganda'


Napata shida Chige... Diamond nampenda ila nilikua nampenda zaidi alivyokuwa na Wema..... nina changamoto acha... baada ya kuwa na mrs Katunzi lol.... ila naanza kukubali hao wawili wamekua historia

Mie huyo Mrs Katunzi mimba iwe ya Katunzi au isiye ya Katunzi unadhani najali basi.... huwa nashabikia tu kitumbua kiingie mchanga tu.. mengine watajua wenyewe
 
Wema sepetu, the woman who knows more about the game, the woman who knows more about diamond, the woman who knows more about zaris pregnancy. KATUNZI ndio jina la mchezo

Hahaaaaaaa nyie binamu... nilikua na hasira ila hii comment imenichekeshaje...

Hapana chezea Katunzi lol
 
Wema alikuwa katika relationship kama mtoto wa miaka 16. Ila kizaidi juu hanazo za maendeleo....now anategemea wafanyakazi wake na manager. Bila wao hata hiyo robo anayoipata asingeiona
 
Hao wanamsema Zari ni Mrs Katunzi inaonyesha wivu sababu wanatageti Chibu kwa hayo

Wameongelea ex wameshindwa maana hawawezi pangua hilooooo au kufanya waache kuongea.
 

tell him....!!!!!!
 
jamaniii dimond ametoa video yake mpya muda mwafakaaa!!!! hicho kichambo ndaniiii!! balaaaa!!! malkia wa mipasho anasema ... utavunja balbu mwaka huuu maana nazi zimepanda beiiiii!!! chage bebiii tunasema naweeeeee!!! usiyekataaa tongozooooo!!! ndukiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii i

 
Last edited by a moderator:

Hhhhaaaaaaa chagaa atajijuuuu
 
Last edited by a moderator:

Teh Teh huu Wimbo nimetoka kuuangalia na sema wazi Kabisa Diamond ni msanii bora kabisa Tanzania...hapa ndio ana tofautiana na Wengine..amenza na Video kali hakika wimbo mzuri!

Huyu kijana amebarikiwa sana....
 
Last edited by a moderator:
Jamanii mummfollow who is the boss muone picha za chaga bibi za zamani hadi akiwa hospitali yaan hadi mashavu kafanyiwa upasuajii hhhhhhhaaaaaaaa

Shoga nlishamfolow yani chaga bibi fake fake! Ndio maana anakazana kusema Zari ni fake akat mwenzie since her teenage yrs alikua mtamu.kwanza mamake Zary ni muhind so rang ya mtume inamhusu
 
Lakini wenye roho mbaya watabishaaaaaa kwenye keyboard lakin wanamsikiliza balaaaa

Tutamsikiliza tuuu ila sio kwamba ndo tunamkubali pyeee! Ukiwasha radio unasikiza hadi nyimbo za wasanii usiowafaham so sikio linasikiza tu
 
Jamanii mummfollow who is the boss muone picha za chaga bibi za zamani hadi akiwa hospitali yaan hadi mashavu kafanyiwa upasuajii hhhhhhhaaaaaaaa

Nimeenda kupata uondo ila jina hilo account nyingi tupe lilivyo
 
Halafu hao timu ma.vii et oooh zari kapokonywa nyumba mara zari hana pa kulala......zari ana watoto na hawezi kapokonywa mali sheria zinamlinda .....ao kina matikinn cjui kutwa kumpondea zari....wanapenda maisha ya zari wangekua hawapend wasingeenda kujiuza kwa wanigeria
 
Shoga nlishamfolow yani chaga bibi fake fake! Ndio maana anakazana kusema Zari ni fake akat mwenzie since her teenage yrs alikua mtamu.kwanza mamake Zary ni muhind so rang ya mtume inamhusu

mfollow nakupa ukweli uone shosti charga zeee likidinywaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…