Zari 'The Boss Lady' VS Chagga Barbie 'Muke ya Mganda'

ndoa ya skype
You cnt get it,Huyo Chaga bobi ushamba mwingi sana.yaani kuonjeshwa tu kashatangaza ye mke na mitusi juu kwa ex wa mchepuko.aisee mwanamke mkizaa mmezaa tu mtaheshimiana.hata mtu akiingilia mnaskilizia kumbe mnamchora tu.mi juzi hapa nimetaka kuuliWa.
 
Heheheh hizo picha mara ya kwanza zIlirushwa na mange kipindi ana ugomvi na chaga bibi.....

Akamwambia akimchokoza tena atarusha nyingine mbaya zaidi

Toka hapo chagabibi anamheshimu Mange...


Jamanii mummfollow who is the boss muone picha za chaga bibi za zamani hadi akiwa hospitali yaan hadi mashavu kafanyiwa upasuajii hhhhhhhaaaaaaaa
 

ha ha ha eeeh pole kuuliwa kisa...wala kuliwa hajaliwa wala kuonana hajaonana ni malove via skype
 
Wema alikuwa katika relationship kama mtoto wa miaka 16. Ila kizaidi juu hanazo za maendeleo....now anategemea wafanyakazi wake na manager. Bila wao hata hiyo robo anayoipata asingeiona
alishindwa kutumia fursa alichojua ni kwenda club tu pole zake angejuaga hata asingeondoka kwa clement sahv nae angekua bosslady
 
Uwiiiii! Uwiiiiii! Haya mahaba ya Diamond kwa Zari tu ndipo hua ninapompendea.The guy knows exactly how to take care of his 'wife'...
Sijui wema anajisikia vipi akiona haya mapicha.Kiukweli ningekua mimi ningeumia sana!
Alishabamiza Ipad
 
jamani mapicha ya uchi ya mukeyamuganda imemwagwa hadharani!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…