Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
- Thread starter
- #281
Kama yy mwanamke kweli tutaona kama ataambulia kitu
ndoa ya skype
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama yy mwanamke kweli tutaona kama ataambulia kitu
Nimeenda kupata uondo ila jina hilo account nyingi tupe lilivyo
nyamazeni naangalia tamthiilia
You cnt get it,Huyo Chaga bobi ushamba mwingi sana.yaani kuonjeshwa tu kashatangaza ye mke na mitusi juu kwa ex wa mchepuko.aisee mwanamke mkizaa mmezaa tu mtaheshimiana.hata mtu akiingilia mnaskilizia kumbe mnamchora tu.mi juzi hapa nimetaka kuuliWa.ndoa ya skype
Jamanii mummfollow who is the boss muone picha za chaga bibi za zamani hadi akiwa hospitali yaan hadi mashavu kafanyiwa upasuajii hhhhhhhaaaaaaaa
You cnt get it,Huyo Chaga bobi ushamba mwingi sana.yaani kuonjeshwa tu kashatangaza ye mke na mitusi juu kwa ex wa mchepuko.aisee mwanamke mkizaa mmezaa tu mtaheshimiana.hata mtu akiingilia mnaskilizia kumbe mnamchora tu.mi juzi hapa nimetaka kuuliWa.
Hhhhaaaaaaa chagaa atajijuuuu
alishindwa kutumia fursa alichojua ni kwenda club tu pole zake angejuaga hata asingeondoka kwa clement sahv nae angekua bossladyWema alikuwa katika relationship kama mtoto wa miaka 16. Ila kizaidi juu hanazo za maendeleo....now anategemea wafanyakazi wake na manager. Bila wao hata hiyo robo anayoipata asingeiona
Alishabamiza IpadUwiiiii! Uwiiiiii! Haya mahaba ya Diamond kwa Zari tu ndipo hua ninapompendea.The guy knows exactly how to take care of his 'wife'...
Sijui wema anajisikia vipi akiona haya mapicha.Kiukweli ningekua mimi ningeumia sana!
mmmh hicho kichambo cha dai ni cha nani eti???
mmmh hicho kichambo cha dai ni cha nani eti???
Teh Teh Mwalimu si wimbo tuu hule.....
Heheee wenye ujumbe washaupokeaa yaan chainya moto inaunguzaaa
jamani mapicha ya uchi ya mukeyamuganda imemwagwa hadharani!!!!!
Wapi huko tukatoe tongo tongo
Duuuu aiseee ana dhalilishwa sana.kuna mtu anajiita mpeukweli
Duuuuuu yupo private au ni wazi nikajioneee
Duuuuuu yupo private au ni wazi nikajioneee