hapo ndo muarabu!!angekua mweusi km mie hali ingekua teteee...!!!!
Lakin mi nilionaga picha yake ikionyeshwa mgongo hebu pita kwa wolper uone hako ni katoto alikokawish hbd uniambie ni katoto au um ikibidi ufollow page yake ujione
ishu sio tu kuongelea watu mpare yule ana wivu mnooo...Mhhhh mnazidisha sasa kwani sisi huku ndani tunaongelea juu ya nini kama si Maisha ya watu ? Yanatuhusu ? Walau yeye Blogger anatafuta habari , sisi hapa si udakuz tu wa Maisha ya wengine , ama kweli Nyani haoni Kundule :confused3:
Ha haaa Bora umeliona hilo yeye kutwa kujifanya anajua nani kakosea wapi na kapatia wapi. Anaboa.
account gani hiyo
Ya dogymasta mwenyeww
ndo anatumia id gani make mi hata sijamfollow
Dougiemasta19
Haya wapenda umbea..
Chagga ndo kama hivyo profile picture Ivan.. Dinazarde BADILI TABIA warumi Heaven on Earth miss strong
Hhhhhaaa anahangaika huyooo duuuuu
We acha tu kama mtoto mdogo.
Nashangaa whatsapp yake kitu ivan....
Ha ha anashobo sana
Haya wapenda umbea..
Chagga ndo kama hivyo profile picture Ivan.. Dinazarde BADILI TABIA warumi Heaven on Earth miss strong
Anajitaji pesa waliokuwa wanaiba na .kumla na kulipa pesa wapo jela sasa hivi imetokea mwisho wa mwezi ulopita.