Zari 'The Boss Lady' VS Chagga Barbie 'Muke ya Mganda'

Zari 'The Boss Lady' VS Chagga Barbie 'Muke ya Mganda'

hapo ndo muarabu!!angekua mweusi km mie hali ingekua teteee...!!!!

Lakin mi nilionaga picha yake ikionyeshwa mgongo hebu pita kwa wolper uone hako ni katoto alikokawish hbd uniambie ni katoto au um ikibidi ufollow page yake ujione
 
Lakin mi nilionaga picha yake ikionyeshwa mgongo hebu pita kwa wolper uone hako ni katoto alikokawish hbd uniambie ni katoto au um ikibidi ufollow page yake ujione

ngoja niende bas nshamjua huyu dogo
hv kweli wanaompondaga zari wana uzuri ?
 
Mhhhh mnazidisha sasa kwani sisi huku ndani tunaongelea juu ya nini kama si Maisha ya watu ? Yanatuhusu ? Walau yeye Blogger anatafuta habari , sisi hapa si udakuz tu wa Maisha ya wengine , ama kweli Nyani haoni Kundule :confused3:
ishu sio tu kuongelea watu mpare yule ana wivu mnooo...
dai kajenga anasema ooh jiko gani jekundu la kwake lina rangi gani mbn.halioneshi anatupia picha za restaa??
zari kujiita mrs d hilo nalo ishu kwake ye mbn anajiita mke wa mzungu???kana wivu sana hako
afu usisahau hapa ni story
mchanganyiko za mastaa ila sio KUWAPANGIA WAISHIJE
 

Attachments

  • 1428307543807.jpg
    1428307543807.jpg
    35.1 KB · Views: 348
Last edited by a moderator:
We acha tu kama mtoto mdogo.
Nashangaa whatsapp yake kitu ivan....
Ha ha anashobo sana

Nimeona kaweka mdomo tu sasa yaan pamoja na kukaa Us kakosa wa kumuoa lollll,angejijuaàa angejikalia tu kimya maana zari wala hana habari
 
Back
Top Bottom