Zari 'The Boss Lady' VS Chagga Barbie 'Muke ya Mganda'

lil q will be like Mommy we told Daddy we need a Nanny but why he brought us a.......................
 
Ila binafsi issue ya zari na ivan naona kama nj changa la macho......wametumia kuwavua watz...

Ukitizama zari akirudi sa nyumba anayoposti ni the same kama atayoposti ivan...tofauti ni angles tu

Hawa wanacheza na akili za watz...na washawajua washamba wa IG basi wanawavuna tu



Zari ana pesa buanaaa utawaweza team upepo
 
Asanteeeee

Mie nililiona hili

Na hata ukitizama pics zao unaona ni nyumba moja.....wanapiga angle tofauti

Hawa waganda wametumia ushabiki maandazi wa wabongo kutafuta umaarufu kwa sababu zao wenyeww.....



 

Hata mi nishahisia hivyooo ila huyo ivan hayo madorali mweeeeee acha wqtu wagombanee
 

KAka yetu kashawekeza mbegu muwaache walale
 
Lakini chagga kweli sura imemshuka loooo.
Yeye kila bwana kumuweka instagram loo akiachika sasa full kutangaza vibamia.
Yule prezzoo anaubamia gani kama bibie hana rambo....
Pole sana ivan

Ngoja movie liishe...
Ivan atajutraaaa
 
Hahahahahahahaha Warumi umenichekesha mpaka basi kwa hiyo ndugu, jamaa na marafiki wanakuogopa kama ukoma? Umbea mtamu
 
Ngoja movie liishe...
Ivan atajutraaaa

Ivan hana maneno mengi sana na hawezi show atamuachia King aisimamie....
Uwiiii natamani sana itokee!!!
ila chagga hajistukii yeye kila danga akilipata analiweka ig na kujiita mke baada ya mda mfupi anaachika.
Hata kwa don ivan nahisi kajitongozesha jamani.
He he kama namuona Mange hiyo siku ikifika atakapochamba mpare yule.
Chagga ushazeeka dadangu sura hiyo mashavu ya juu yashachuma mboga sijui huko chini mhhhh..eti muke ya mganda jamani!!!
 
Lakini chagga kweli sura imemshuka loooo.
Yeye kila bwana kumuweka instagram loo akiachika sasa full kutangaza vibamia.
Yule prezzoo anaubamia gani kama bibie hana rambo....
Pole sana ivan
mtu mzima yule hampati zari ht kwa dawa
hhhhahahaaaaa
 
yule ni chaga bibi sio chaga baby
eti muke ya mganda...!!
hhhhhahahaaaaa

Hahahahahahaha ngoja tuone mwisho wake kama hajabadilisha jina mke wakati hata kuonana na Ivan hawajaonana hana ubavu wa kwenda South Africa maana hana makaratasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…