Hahahahahahahaha Warumi umenichekesha mpaka basi kwa hiyo ndugu, jamaa na marafiki wanakuogopa kama ukoma? Umbea mtamu
Wanitenge tu mwenzangu umbea mtamu binamu, kuacha itakuwa ngumu
Hahahahahahaha ngoja tuone mwisho wake kama hajabadilisha jina mke wakati hata kuonana na Ivan hawajaonana hana ubavu wa kwenda South Africa maana hana makaratasi
Umbea mtamu binamu tupe umbea wa Madam
heee kumbeee😱😱😱
au ndo skype na kudoo?!!!
Ngoja binamu huu ubuyu upoe kwanza maana tutachanganya radha, yani ni titi for tati, bandika bandua
Ivan hana maneno mengi sana na hawezi show atamuachia King aisimamie....
Uwiiii natamani sana itokee!!!
ila chagga hajistukii yeye kila danga akilipata analiweka ig na kujiita mke baada ya mda mfupi anaachika.
Hata kwa don ivan nahisi kajitongozesha jamani.
He he kama namuona Mange hiyo siku ikifika atakapochamba mpare yule.
Chagga ushazeeka dadangu sura hiyo mashavu ya juu yashachuma mboga sijui huko chini mhhhh..eti muke ya mganda jamani!!!
Huyo chagga alikuwa anatamani watu tujue anatoka na Ivan, bwana mdogo hataki watu wajue katafuta ugomvi ili tujue anatoka na bwana mdogo
yule ni chaga bibi sio chaga baby
eti muke ya mganda...!!
hhhhhahahaaaaa
aaah mi sina uhakika ila naona upambe nuksi tu wa wasio navyo hata wenye milonjo wanaita lile guu la bia et tende....ha ha ha wakosaji bwana!!!!Shosti umbea si unasema kabaki na duka 1
Au umbea huu umechacha???
Hahahhahah Leo instagram panachekesha! Hizi team buana! Team kajala wote ni team Zari, Team wema wote wamehamia kwa stela. Team wema wamefurahije sasa! Ila hilo dongo la Zari lol! !!!!
Hata mi nishahisia hivyooo ila huyo ivan hayo madorali mweeeeee acha wqtu wagombanee
ha ha ha zari siku akiongea ni kibomu haswaaa "maid straight from USA...
Nasubiri Le tamkoz kutoka kwa muke ya muzungu (Mange kimambi) maana wote haziivi.
Ndo hivyo mpenzi hapo kafata pesa tu hana lolote