Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,916
- 43,505
Hizi nyingine chafu nineshindwa kueka
Chaga amepanic
Sasa mbona sioni jambo jimba.. yani anatumia silaha zilezile walizo tumia Team Wema na wakachoka . .duniani kuna vituko. ....i see nothing new
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizi nyingine chafu nineshindwa kueka
Chaga amepanic
Haya mambo hatari mama mkwe yupo IG mkwe ndio anachambwa na mapichwa kibao ya wanaume ila CV ya zari kwa wanaume imejitisheleza kuitwa UN
jamani chagabarbie mimi ile tatoo yake tu....
Huyu Stella ndio Huyu aliepigaga simu kwa wakwe wa mange kimambi .Watu wanacheza na maisha
zari's jewelry haiuzi au??na yale maduka ya nguo??mmh labda
Sasa mbona sioni jambo jimba.. yani anatumia silaha zilezile walizo tumia Team Wema na wakachoka . .duniani kuna vituko. ....i see nothing new
Zari's Renaissance Man (The Renaissance Man by Zari)
Na kuna store flani hivi nyingine jina limenitoka. Mwanadada anauza hata kama sio kiviile lakini bhana kipato anacho.
Ndo huyo huyo ngoja watu wapige simu ubalozini awe deported ringa ukiwa na makaratasi una ringa hata makaratasi huna
Ngoja aachwe na Ivan maana anaona kama kaolewa tayari wakati hata kuonana na huyo Ivan hawajaonana kajitongozesha mpaka kaonekana
toto la kichaaaaaaagaaa
![]()
Mapenzi ya skype na face chat...Hao. Wanaume wanamfuata huko USA ?
Ngoja aachwe na Ivan maana anaona kama kaolewa tayari wakati hata kuonana na huyo Ivan hawajaonana kajitongozesha mpaka kaonekana
Hapo tu baadhi ya wanawake ndo huwa nawaona kichwa maji. Eti muke ya mganda hahahaa hopeless kabisa!
Wanawake nao tabu,low class wanajipendekeza wasuguliwe pale kati ili waone sifaAngalau wema anaakili kuliko huyu chaga bibi
Kajipendekeza mpaka kapewa no ya king na masogange
Wanawake tutaendelea kudharaurika tu hakuna kingine
BADILI TABIA,Asanteeeee
Mie nililiona hili
Na hata ukitizama pics zao unaona ni nyumba moja.....wanapiga angle tofauti
Hawa waganda wametumia ushabiki maandazi wa wabongo kutafuta umaarufu kwa sababu zao wenyeww.....
Halafu mpwa nilichogundua wewe ni Team Chibu flani hivi, unam-feel sana jamaa sema ugomvi wenu sehemu moja tu... state house yenye wash room iliyokuwa na gold plated accessories na tiles zilizoandikwa jina lake... hapo tu, BASI!Zari na mondi wanapendana n they make a good couple, mama ubaya uko alipo anatembea na fragile kwenye pochi, maana huo uharo anaoupata sio mchezo kwa kweli
Zari's Renaissance Man (The Renaissance Man by Zari)
Na kuna store flani hivi nyingine jina limenitoka. Mwanadada anauza hata kama sio kiviile lakini bhana kipato anacho.