Zari 'The Boss Lady' VS Chagga Barbie 'Muke ya Mganda'

Zari 'The Boss Lady' VS Chagga Barbie 'Muke ya Mganda'

Haya mambo hatari mama mkwe yupo IG mkwe ndio anachambwa na mapichwa kibao ya wanaume ila CV ya zari kwa wanaume imejitisheleza kuitwa UN

Sasa huyo Stella unajua katembea na wangapi? Na hizo picha ni picha tu au kupiga picha na mwanaume ndo kutoka naye?
 
Huyu Stella ndio Huyu aliepigaga simu kwa wakwe wa mange kimambi .Watu wanacheza na maisha

Ndo huyo huyo ngoja watu wapige simu ubalozini awe deported ringa ukiwa na makaratasi una ringa hata makaratasi huna
 
Sasa mbona sioni jambo jimba.. yani anatumia silaha zilezile walizo tumia Team Wema na wakachoka . .duniani kuna vituko. ....i see nothing new

Sana sana anajiaibisha mwenyewe watu wakiamua kutoa uchafu wake atafunga insta
 
Zari's Renaissance Man (The Renaissance Man by Zari)
Na kuna store flani hivi nyingine jina limenitoka. Mwanadada anauza hata kama sio kiviile lakini bhana kipato anacho.

Ngoja aachwe na Ivan maana anaona kama kaolewa tayari wakati hata kuonana na huyo Ivan hawajaonana kajitongozesha mpaka kaonekana
 
Ndo huyo huyo ngoja watu wapige simu ubalozini awe deported ringa ukiwa na makaratasi una ringa hata makaratasi huna

Lazima uwe criminal kurudishwa,au NDOA fake wa immigration wakikugongea bwana ulionae ni mswahili na aliekupa makaratasi mmarekani na hamja divorce.Hii tabia ya kushtakiana sio nzuri .Watu inabidi watu lie WAFANYE kazi
 
toto la kichaaaaaaagaaa




Screenshot_2014-11-02-21-07-45-1.png

Leta ambayo sura inaonekana vizuri tumuone vyema.
 
Ngoja aachwe na Ivan maana anaona kama kaolewa tayari wakati hata kuonana na huyo Ivan hawajaonana kajitongozesha mpaka kaonekana

Hapo tu baadhi ya wanawake ndo huwa nawaona kichwa maji. Eti muke ya mganda hahahaa hopeless kabisa!
 
Hapo tu baadhi ya wanawake ndo huwa nawaona kichwa maji. Eti muke ya mganda hahahaa hopeless kabisa!

Atleast angeweka haya mahusiano siri yasije yakamtokea kama yale ya prezzo alijiita muke ya prezzo mwisho akaambiwa anakibamia
 
Angalau wema anaakili kuliko huyu chaga bibi
Kajipendekeza mpaka kapewa no ya king na masogange
Wanawake tutaendelea kudharaurika tu hakuna kingine
 
Angalau wema anaakili kuliko huyu chaga bibi
Kajipendekeza mpaka kapewa no ya king na masogange
Wanawake tutaendelea kudharaurika tu hakuna kingine
Wanawake nao tabu,low class wanajipendekeza wasuguliwe pale kati ili waone sifa
 
Asanteeeee

Mie nililiona hili

Na hata ukitizama pics zao unaona ni nyumba moja.....wanapiga angle tofauti

Hawa waganda wametumia ushabiki maandazi wa wabongo kutafuta umaarufu kwa sababu zao wenyeww.....
BADILI TABIA,
Hivi assume wewe ni mwanaume... hivi kweli unaweza kuwa tayari mke wako agongwe hadi kupigwa mimba kwa ajili tu ya kutafuta umaarufu? Hivi huyu Ivana umaarufu unamsaidia nini hasa? Kwanza watu wanaangalia mambo kinyume nyume... hizi drama zinamsadia Diamond zaidi kuliko hata huyo Zari! Jinsi Diamond alivyoandikwa na media za Uganda kwa kipindi cha uhusiano wake na Zari ni zaidi ya mara kumi kama sio ishirini ya alivyoandikwa huko Uganda (na kama alishawahi kuandikwa basi) kabla ya uhusiano wake na Zari! Na hata Kenya ameandikwa sana katika kipindi hiki! Uganda ni watu wanaothamini sana muziki wao lakini leo hii am sure Diamond akipiga show Uganda anaweza kujaza pomoni kuliko kama angefanya kabla ya uhusiano wake na Zari! Sidhani kwa sasa kama kuna msaanii wa Tanzania au hata Kenya anayeweza kuvuta watu kama atakavyoweza kuvuta Diamond katika kipindi hiki cha uhusiano wake na Zari!

Sasa tuje kwa Zari mwenyewe! Umaarufu huu unamsaidia nini materially? Hivi inawezekana kweli kwamba leo hii maduka yake huko Uganda yanafurika baada tu ya kuwa na uhusiano na Diamond? Hivi leo hii Zari akileta maduka yake hapa Tanzania ndo yanaweza kufurika kwa sababu tu ya uhusiano wake na Diamond wakati hata hao unaoita mashabiki maandazi sio watu wa kununua staili ya maduka ya Zari!!

Ukija madai kwamba hili ni chezo na mwisho wa yote Diamond ndie atapoteza wala sioni atapoteza nini! Ivan alipoteza kwa sababu walikuwa mke na mume na walipoachana mambo ilibidi yawe pasu kwa pasu! At least for the time being, kila alichonacho Diamond, Zari hana haki nacho hata kwa 1% na kwahiyo yale ya kwa Ivan kwa Diamond hayawezi kutokea! Lakini hata kama wakiachana bado hamna jipya na hasa ukichukulia historia ya uhusiano wa Diamond huko nyuma... kwamba mara zote, huwa anarudi zizini kwake (kwa Wema)! Na hata kama ni kweli Zari ana mimba halafu akajifungua na kisha wakaachana to the point Diamond akatakiwa kutoa monthly expenses kwa ajili ya matunzo ya mtoto bado wala haiwezi kuwa issue hasa ukizingatia jinsi inavyoonekana Diamond alivyokua anataka mtoto... hata akiambiwa awe anapeleka sh. 1 million kwa mwezi, ye atajionea sawa tu... sasa katika mazingira kama hayo, huyo Ivan sijui atakuwa amefaidika nini... kwanza mke wake kagongwa na hatimae kazalishwa halafu tuseme ni chezo... THERE'S NO WAY!
 
Zari na mondi wanapendana n they make a good couple, mama ubaya uko alipo anatembea na fragile kwenye pochi, maana huo uharo anaoupata sio mchezo kwa kweli
Halafu mpwa nilichogundua wewe ni Team Chibu flani hivi, unam-feel sana jamaa sema ugomvi wenu sehemu moja tu... state house yenye wash room iliyokuwa na gold plated accessories na tiles zilizoandikwa jina lake... hapo tu, BASI!
 
Hii vita bora imeisha jioni hii..ilifikia pabaya. Chaggabarbie karusha mapicha ya Zari na wanaume tofauti naona anapewa na huyo Ivandon. Simwelewi huyo Ivandon why katoa hizi picha hadi picha yao ya engagement mweeee anyway zimeshatolewa saivi but i had screenshot.a.few......
 

Attachments

  • 1427419459776.jpg
    1427419459776.jpg
    58.1 KB · Views: 323
  • 1427419470005.jpg
    1427419470005.jpg
    91 KB · Views: 290
  • 1427419484986.jpg
    1427419484986.jpg
    63 KB · Views: 296
  • 1427419498916.jpg
    1427419498916.jpg
    93.9 KB · Views: 296
  • 1427419513087.jpg
    1427419513087.jpg
    36.3 KB · Views: 275
  • 1427419527065.jpg
    1427419527065.jpg
    36 KB · Views: 275
  • 1427419543016.jpg
    1427419543016.jpg
    35.1 KB · Views: 279
Jamaniii hivi ile vita ya chargabarbie na mange iliishije maana kama mtoto wa kichaga anamdomo hivi .. na mange akafanikiwa kumnyamazisha basi kuanzia Leo nmeamini mange kimambi wewe ni balaa. ..
 
Back
Top Bottom