Chrismoris
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 14,113
- 17,645
Cariha nina ujumbe wako toka kwa x. Nitakutafuta.Zari yuko mbali tifauti na wanawake wengi Africa mashariki hata wanaume pia aisee.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Cariha nina ujumbe wako toka kwa x. Nitakutafuta.Zari yuko mbali tifauti na wanawake wengi Africa mashariki hata wanaume pia aisee.
But 90% wanaomjadili ni washindwa
Heee huyu mwanaume si tumeaminishwa alikuwa ana pesa hayo mazingira mbona machafu hivyo
Diamond ndio mavi kwasababu Ivan alikuwa na pesa kuzidi diamond pia Ivan alikuwa na umri mkubwa kumzidi diamondUngesema ameruka mavi akakanyaga mkojo, kiafya ni bora ule mavi kuliko kunywa mkojo mkuu..
Diamond ndio mavi kwasababu Ivan alikuwa na pesa kuzidi diamond pia Ivan alikuwa na umri mkubwa kumzidi diamond
My dear pesa wamezitafuta wote mpaka kuja kuwa mamilionea .....ina maana umeshindwa kujua kwamba hiyo picha ni ya mwaka 47 dear???Heee huyu mwanaume si tumeaminishwa alikuwa ana pesa hayo mazingira mbona machafu hivyo
Bibie alitafuta a man who is sexy and fluent in English, Ivan na pesa zake zote lakini hakuwa na shule, alikuwa mnene na tumbo. Kitu ambacho wanawake hatujui ni kuwa, mwanaume anaekuenzi muenzi, utaishi kama malkia. Kwa Ivan Zari was his Queen.Mwanamke ukikaa na mwanaume miaka zaidi ya 7 halafu ukaanza kurukaruka, huko unakokwenda utaishia motoni.
Zari alikuwa anaponda mizizi ya dawa za wateja, Ivan alikuwa mganga wa kienyeji.My dear pesa wamezitafuta wote mpaka kuja kuwa mamilionea .....ina maana umeshindwa kujua kwamba hiyo picha ni ya mwaka 47 dear???
Eeeeh ndio pesa inatafutwa kwa namna nyingi.....Zari alikuwa anaponda mizizi ya dawa za wateja, Ivan alikuwa mganga wa kienyeji.
Kwa Sasa nimekuelewa huwa simfatilii sana huyu mamaMy dear pesa wamezitafuta wote mpaka kuja kuwa mamilionea .....ina maana umeshindwa kujua kwamba hiyo picha ni ya mwaka 47 dear???
That is why I admire you Eclat, you are not only a woman but a "Real Wife".Bibie alitafuta a man who is sexy and fluent in English, Ivan na pesa zake zote lakini hakuwa na shule, alikuwa mnene na tumbo. Kitu ambacho wanawake hatujui ni kuwa, mwanaume anaekuenzi muenzi, utaishi kama malkia. Kwa Ivan Zari was his Queen.
Leo Mange amekua dada wa Diamond anamsuta wifi kwa nyumba ya kaka.😀
Numbisa 😀😀😀😀
Bora angesubiri Mondi afarikiNa mm kama wifi yake ananikera ataletaje! Mwanaume mwingne kwenye nyumba ya kaka! kwa hilo acha Mange aruke nae