Jurrasic Park
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 3,801
- 6,806
Ndio maana muda mwingi yupo bongo ,,na ni muislam anaweza oa wanne
Hata joketi hujamuona? Kweli watanzania tumelogwaUnajua nn mkuu,,, Leo hii Maria siku akiolewa ,naye baadae akiojiwa atakuambia ** Mume Wangu tumetoka naye mbali ,sikua nakitu kabisa lkn nashukuru mpaka tulipofikia**.
Nature ya wanadamu ktk mahusiano nimoja.....hata km wamekutana wote wanamaisha safi ,,nilazima aongezee miaka kadhaaa ya shidaaa ,hii ni ilimradi tu ,kuonyesha kua Wametoka mbali na wapi inrealation kwa muda mwingi. .
Tukiachana nahayo ,,Zary nizary nahuwezi kumfananisha na celebrities wahapa Bonge hamnaaa hamna kwasababu hawapo independent wote ni wadangaji !!!! ...kudanga danga ili waishi.
Nilikua kidogo namuwazia huyo mdada !!!.Jokate yes she is really good !!!..and perfect one nayule naniiii sijuiHata joketi hujamuona? Kweli watanzania tumelogwa
Wanawake wa kitanzania ni wazuri na watamu kuliko wa Ug,,uliza wanaume wa Ug,labda wametuzidi majiSasa ameenda UG siku moja tena kaiba mke wa mtu na watoto huku Tz kuna wanawake na watoto mbona hawajawaona
Ila papuchi za UG tamu bana na viuno vyao vinazinguka kama ringi. Tz sijui kuna shida gani maana vitumbua vya uku kama vimejazwa hamira kuliko unga labda nd tatizo
Pesa ni pesa tu hata zati kadanga sana tu,,unadhan pesa tunajua zinapotoka pesa hata itoke wapi ni tamu,hata majambazi wakiiba wakiwapa wake zao haijalishi imetoka wapi.maana hata ivan nae alikua tapeli tapeli lakin pesa tamu banaUnajua nn mkuu,,, Leo hii Maria siku akiolewa ,naye baadae akiojiwa atakuambia ** Mume Wangu tumetoka naye mbali ,sikua nakitu kabisa lkn nashukuru mpaka tulipofikia**.
Nature ya wanadamu ktk mahusiano nimoja.....hata km wamekutana wote wanamaisha safi ,,nilazima aongezee miaka kadhaaa ya shidaaa ,hii ni ilimradi tu ,kuonyesha kua Wametoka mbali na wapi inrealation kwa muda mwingi. .
Tukiachana nahayo ,,Zary nizary nahuwezi kumfananisha na celebrities wahapa Bonge hamnaaa hamna kwasababu hawapo independent wote ni wadangaji !!!! ...kudanga danga ili waishi.
Huyo zari hajamfikia joketi Kwa akili hata kidogo ni vile watanzania hatuthamini vyakwetu tuNilikua kidogo namuwazia huyo mdada !!!.Jokate yes she is really good !!!..and perfect one nayule naniiii sijui
Nani mme wa mtu we,,hamisa kaanza mahusiano na dai hata kabla ya huyo zari au hili hujui?Wadangaji na wezi wa waume wa wenzao vwatamsifia huyo mabutu alie na mume nyumbani akawahi ku experience zarau za michepuko mpaka hapo najua atakua upande upi ilikua na u k azima gani kushindana na zari tarehe moja ya event mnaosema mabutu mdogo mnajidanganya kina miaka 29 endeleeni kumdanganya mitandao inajua kudanganya mno, wanaume tulieni na ndoa zenu na wake zenu ona diamond anavo mletea shida zari kisa umalaya wake
Time will tell alikuepo wema sepetu mkampa bichwaa leo hii miaka imeenda kawa kichekesho hajui hata atulie wapi!
Mange uchungu wa kuachwa na mzungu na frustration zote anataka kumtika zari hata wanao muamini story zake za kubumba nawashangaaga yule kibibi ni psychopath hapendi mwenye nacho hana rafiki hana mume amebaki kudandia maisha ya vwengine na kudanganya watu waandamane badala ya kufanya kazi ye kajificha ulaya.
Huyu hamisa anajishtukia kila kitu, je kama hakusemwa yeye? She’s an irrelevant idiot.
View attachment 657013zishukuliwe make up jamani zinasitiri sana ,na huo mtindo wa nywele wa mwaka 47 aiiii cc Numbisa espy
Weeeeeeeee kama hujui nyamaza fstilia upya kabisa,walianza na zari moja
Ila zari kiboko jana uganda kalia eti kisa kajaza,lakim msiba wa mama yake hakulia heko