Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
Mtoto hanyonyeshw tangu ana miezi miwili kama sio mmoja na nusu ndo akaanza harakati za kudai pesa ndefu.
Hata mie nasubiria mwisho wake kheee isiishe bana ntakosa wa kubishana nao humu
Hata mie nasubiria mwisho wake kheee isiishe bana ntakosa wa kubishana nao humu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kama ni kweli bi tununu hanyonyeshi watoto kisa kumkomoa ndomo hapo kabugi yena vibaya sana.
Ila hii movie yao sijui itaishia wapi