Zari vs Hamisa mambo ni hivii instagram

Zari vs Hamisa mambo ni hivii instagram

Status
Not open for further replies.
Kisa pesa,zari anachamba huku anaingiza pesaaaaaa. Cheki tangazo la danube ,cheki hivyo vichambo kisa white partyyyyyy. Money baby moneyyyyyy
[emoji23][emoji23][emoji23]
Lakini jamani mwacheni misa ana stress mjue?kawa singo mama mara ya pili hii halafu baba mtoto kamkana tena redioni[emoji23][emoji23][emoji23]hebu mpumzisheni na ngie kama mnaingiza pesa kuweni busy basi achaneni na low life huyu kama mnavyomuita.

Ila zari katolewa povu[emoji23][emoji23][emoji23]

Nsamaka hebu njoo wapitwa huku
 
Hahaha waulize wanaosema tajiri ana ma empire
Bado sijaonaga utajiri wake, anamsema mwenzie wakati yeye anategemea watoto wake kuishi miaka nenda, mwaache aendelee kuishi maisha ya kutufurahisha walimwengu.
 
Kana mawazo balaa kanakimbilia mitandaon kutafuta huruma za mashabiki maandazi. Am curious lile duka alilotangaza kwa mbwembwe mia sijui limeishia wapi
Hivi mtaji alipewa na nani vileee
 
Nawe bana unaniaibisha kwan hujuagi tajiri anazidi kutajirika kupitia maskin. Hata akina gwajima wanatajirika kwa sadaka za waumini same to akina shingongo na mwenyewe zari ankra inasomaaaa

Hii ligi ya hamisa na zari isiishe bana ntakosa pa kuzurulia humu JF
[emoji23][emoji23][emoji23]
Lakini jamani mwacheni misa ana stress mjue?kawa singo mama mara ya pili hii halafu baba mtoto kamkana tena redioni[emoji23][emoji23][emoji23]hebu mpumzisheni na ngie kama mnaingiza pesa kuweni busy basi achaneni na low life huyu kama mnavyomuita.

Ila zari katolewa povu[emoji23][emoji23][emoji23]

Nsamaka hebu njoo wapitwa huku
 
Bado sijaonaga utajiri wake, anamsema mwenzie wakati yeye anategemea watoto wake kuishi miaka nenda, mwaache aendelee kuishi maisha ya kutufurahisha walimwengu.
Nisaidie kuwaambia
 
Kabla ya watoto hawajazaliwa unajua kuwa zari alikua mwanamuziki? Na je watoto wamepatia wapi hizo hela za kumtunza zari? Now nimeelewa kumbe mnamchukia zari kisa mali zilizopo chini ya ulinzi wake
Bado sijaonaga utajiri wake, anamsema mwenzie wakati yeye anategemea watoto wake kuishi miaka nenda, mwaache aendelee kuishi maisha ya kutufurahisha walimwengu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom