Zari vs Hamisa mambo ni hivii instagram

Zari vs Hamisa mambo ni hivii instagram

Status
Not open for further replies.
Cc:jingalao,the tallest, kupara kipya,barafu yamoto,Boniface,coco channel.... Pumzi zimekata,.hakuna kazi ngumu kama kumtetea shetani...utaishiwa pumzi tuu
Wanachaguliwa wengine tu wao wanaachwa
 
Kabla ya watoto hawajazaliwa unajua kuwa zari alikua mwanamuziki? Na je watoto wamepatia wapi hizo hela za kumtunza zari? Now nimeelewa kumbe mnamchukia zari kisa mali zilizopo chini ya ulinzi wake
Kumbe zipo chini ya ulinzi wake ila sio zake, hakuna anayemchukia huyo bibi aisee atulie tu alee watoto wake wenye baba tofauti tofauti hizo mbwembwe hazimuongezei chochote.
 
Hahahahah
 
Hata kabla ya hamisa unamchukia zari,wee sema tu ukweli awaachie dai wenu hahahah si ulihama timu dai wewe pole weeee
Dinazarde,
 
Watakutajia jackline mengi hahaha
Tatizo la Zari ndio hilo,kuwa na pesa nyingi-wewe unafikiri Diamond kusema ataenda SA kwa magoti hana akili-exposure anayopata Diamond just by being with Zari si ya kawaida
 
U see jealous kills. Still.mali ni za zari na zari white party ni yake. Watoto wana shates zao na yeye ana shares zake.(najua unaumia polee,ikikuuuma meza wembe)

Hamisa ana watoto wawili baba tofauti and soon ataonheza watatu baba mwingine. Anaishi nyumba ya kupanga kwa jasho la wanaume za watu bwahahahahaha

Zari ana watoto watano kwa baba wawili. Na anaishi nyumba yake kwa jasho lake
Kumbe zipo chini ya ulinzi wake ila sio zake, hakuna anayemchukia huyo bibi aisee atulie tu alee watoto wake wenye baba tofauti tofauti hizo mbwembwe hazimuongezei chochote.
 
Hata kabla ya hamisa unamchukia zari,wee sema tu ukweli awaachie dai wenu hahahah si ulihama timu dai wewe pole weeee
Nilihamia kwa dai baada ya kuona kiba anataka kupandishwa halaf dai ashushwe ,,baada ya kuona mambo sawa nikawa katikati,,nawapenda wote aly kiba na dai
Na hii vepe nieleweshe basi
Screenshot_20171222-210304.png
 
Diamond anavyozidi kupaa,iko siku ataitajika kwenye cooperate meetings,parties etc-sasa hapo ataandamana na Mobeto??
 
Ndo kinachowapanikisha wengi hapa wanaumia sana kuona dai na zari hawana dalili za kuachana,na pesa za zari na bado bidada anadaka madili makubwa makubwa nchini Tz
Tatizo la Zari ndio hilo,kuwa na pesa nyingi-wewe unafikiri Diamond kusema ataenda SA kwa magoti hana akili-exposure anayopata Diamond just by being with Zari si ya kawaida
 
Kwa hiyo naye Hamisa tarehe 24 atakwenda kuandaa party South kama wakina Zari kwaajili ya Dulla
 
Hata kabla ya hamisa unamchukia zari,wee sema tu ukweli awaachie dai wenu hahahah si ulihama timu dai wewe pole weeee
Bahati mbaya sijawahi kuwa team udambu yoyote, hao wote kwangu wendawazimu, mtu mzima akivuliwa nguo anachutama ila boss wako kakomaa, bibi mzima unaanzaje kushindana na mtoto ambaye unaweza kumzaa???
Unamcheka mwenzio kazaa watoto baba tofauti umesahau na wewe watoto wako umezaa hivyo, kwani si huyu alikuwa anapanga foleni kwa Ivan kupewa matunzo???? Sio huyu anambana mbupu Domo hadi anashindwa kuchomoka???
Endelea kudanganyika na maisha ya boss wako ya mtandaoni
 
Naona unavyojitetea na kujifariji kwa taarabu za hamisa maskin nahisi huko katakua kanalia kabisa,haya tusema dai kaoa,kamuia nani?na mbona anafichwa kama utumbo? Na kwann hakuna picha hata moja ya dai na mtoto mzur dully maweeeeee mashing'weng'weee
Nilihamia kwa dai baada ya kuona kiba anataka kupandishwa halaf dai ashushwe ,,baada ya kuona mambo sawa nikawa katikati,,nawapenda wote aly kiba na dai
Na hii vepe nieleweshe basiView attachment 657169
 
Bahati mbaya sijawahi kuwa team udambu yoyote, hao wote kwangu wendawazimu, mtu mzima akivuliwa nguo anachutama ila boss wako kakomaa, bibi mzima unaanzaje kushindana na mtoto ambaye unaweza kumzaa???
Unamcheka mwenzio kazaa watoto baba tofauti umesahau na wewe watoto wako umezaa hivyo, kwani si huyu alikuwa anapanga foleni kwa Ivan kupewa matunzo???? Sio huyu anambana mbupu Domo hadi anashindwa kuchomoka???
Endelea kudanganyika na maisha ya boss wako ya mtandaoni
Ina maana haya magari tunayoyaona na personalized no plates ni ya mtandaoni tu
 
Ila kweli ka hamisa kazuri, namwitaga Cleopatra wa TZ, kazuri kweli, domo aachane tu na hilo lizee, lirudi kwao..
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom