Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jifariji teh teh
Kumbe zipo chini ya ulinzi wake ila sio zake, hakuna anayemchukia huyo bibi aisee atulie tu alee watoto wake wenye baba tofauti tofauti hizo mbwembwe hazimuongezei chochote.Kabla ya watoto hawajazaliwa unajua kuwa zari alikua mwanamuziki? Na je watoto wamepatia wapi hizo hela za kumtunza zari? Now nimeelewa kumbe mnamchukia zari kisa mali zilizopo chini ya ulinzi wake
Tatizo la Zari ndio hilo,kuwa na pesa nyingi-wewe unafikiri Diamond kusema ataenda SA kwa magoti hana akili-exposure anayopata Diamond just by being with Zari si ya kawaidaWatakutajia jackline mengi hahaha
Kumbe zipo chini ya ulinzi wake ila sio zake, hakuna anayemchukia huyo bibi aisee atulie tu alee watoto wake wenye baba tofauti tofauti hizo mbwembwe hazimuongezei chochote.
Nilihamia kwa dai baada ya kuona kiba anataka kupandishwa halaf dai ashushwe ,,baada ya kuona mambo sawa nikawa katikati,,nawapenda wote aly kiba na daiHata kabla ya hamisa unamchukia zari,wee sema tu ukweli awaachie dai wenu hahahah si ulihama timu dai wewe pole weeee
Hayo majina yapo kwenye Hadithi za Alif Lela Ulela !Sema hili jina alienipa buana duu
Tatizo la Zari ndio hilo,kuwa na pesa nyingi-wewe unafikiri Diamond kusema ataenda SA kwa magoti hana akili-exposure anayopata Diamond just by being with Zari si ya kawaida
Bahati mbaya sijawahi kuwa team udambu yoyote, hao wote kwangu wendawazimu, mtu mzima akivuliwa nguo anachutama ila boss wako kakomaa, bibi mzima unaanzaje kushindana na mtoto ambaye unaweza kumzaa???Hata kabla ya hamisa unamchukia zari,wee sema tu ukweli awaachie dai wenu hahahah si ulihama timu dai wewe pole weeee
Nilihamia kwa dai baada ya kuona kiba anataka kupandishwa halaf dai ashushwe ,,baada ya kuona mambo sawa nikawa katikati,,nawapenda wote aly kiba na dai
Na hii vepe nieleweshe basiView attachment 657169
Ina maana haya magari tunayoyaona na personalized no plates ni ya mtandaoni tuBahati mbaya sijawahi kuwa team udambu yoyote, hao wote kwangu wendawazimu, mtu mzima akivuliwa nguo anachutama ila boss wako kakomaa, bibi mzima unaanzaje kushindana na mtoto ambaye unaweza kumzaa???
Unamcheka mwenzio kazaa watoto baba tofauti umesahau na wewe watoto wako umezaa hivyo, kwani si huyu alikuwa anapanga foleni kwa Ivan kupewa matunzo???? Sio huyu anambana mbupu Domo hadi anashindwa kuchomoka???
Endelea kudanganyika na maisha ya boss wako ya mtandaoni