Zari vs Hamisa mambo ni hivii instagram

Zari vs Hamisa mambo ni hivii instagram

Status
Not open for further replies.

Dejane

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2014
Posts
50,587
Reaction score
71,492
Insta kunafuka moshi kwa wapenda ubuyu yaan mambo ni hivii,,ni pale bibi Tukinao mwenye miaka 49 kurusha kombora hili snapchat
IMG-20171222-WA0005.jpg
nadhan alimpa dongo yule mwenye party Don zella basi bomu likajibiwa hivii na mrembo mwenye figa ya kimataifa Hamissa Mobeto ambae kazidiwa na zari miaka 20
Akajibu hivi
IMG-20171222-WA0003.jpg

Mrembo akarusha bomu,basi yule bibi kutwa kushindana nae akajibu hivi bi tukinao
IMG-20171222-WA0006.jpg
na hapo chini akapewa kichambo cha ki pole bibie Kiboko yake le mutuz
Basi hamisa nae akajibu hivi
IMG-20171222-WA0002.jpg

Misa akaendelea kurusha madongo na kusema yeye ni jeshi la mtu mmoja
IMG-20171222-WA0004.jpg

Hamisa wetu usife moyo wala usiogope mikwara ya huyo bibi tukinao,tenaaaaa zaa na daimond tena mapacha ili ashindwe hata kutabasamu angekua ana ubavu si angemuacha Daimond,alitaka azae yeye tu sisi wa Tz hatuna k au kizazi,,Hamisa pambana achana na wanaokukatisha tamaa,,Watanzania kawaida yetu kushobokea wageni tunaacha vya kwetu hata kwenye huu uzi watakuja tu
Habari ndio hiyo ukivembewa,ukipata kichefuchefu Kunya tikiti itakusaidia,,
Haya kuleni ubuyu
 
Bado sijaona hamisa alikompiku zari party zote zilikuwa nyomi pia zari anashare kwenye party ile lakini hamisa nimualikwa tu sijui wanaitwa special appearance muhimu ainvest asitegemee urithi jamani tusimtie ujinga awe kama wema sepetu
 
Mpe ushauri sasa
 
Hamisa kiukweli kafeli lengo lake UG.. hajui mtu kajijengea jina miaka mingi na ana wanawake wa huko wanapenda kushindana nae.. akaingia mkenge wao kwa kutumika hata kama alilipwa nao.. angetafakari ila ndio akili hana zaidi ya jana kupewa mpapa siku iishe.

Kumpenda diamond apambane nae atakavyo sio kwa Zee anajiaibisha tu.
 
Yaan analipwa akatae kisa mabifu yao we vepe
 
Hamisa kiukweli kafeli lengo lake UG.. hajui mtu kajijengea jina miaka mingi na ana wanawake wa huko wanapenda kushindana nae.. akaingia mkenge wao kwa kutumika hata kama alilipwa nao.. angetafakari ila ndio akili hana zaidi ya jana kupewa mpapa siku iishe.

Kumpenda diamond apambane nae atakavyo sio kwa Zee anajiaibisha tu.
Mama sikuhizi sikuoni mambo ya chama au vyuma vimekaza kwa takwimu za lumumba
 
Hamisa kiukweli kafeli lengo lake UG.. hajui mtu kajijengea jina miaka mingi na ana wanawake wa huko wanapenda kushindana nae.. akaingia mkenge wao kwa kutumika hata kama alilipwa nao.. angetafakari ila ndio akili hana zaidi ya jana kupewa mpapa siku iishe.

Kumpenda diamond apambane nae atakavyo sio kwa Zee anajiaibisha tu.
Tutajenga viwanda kweli maana kutwa umbea tu
 
Ivi jaman ,,tukisema ukweli..

Mbu na Tembo niyupi anakupa Kifungo chamaisha,,au kifo au tuu ukibahatika kutokukamatwa anakupa Mali ???.

Wachen Zary awe Zary!!!. Huyu mwanamke naona watu wanamsodoa kwasababu she is the queen of her own empire !!!!... Wategemeaji ,,hawawezi kamwe kumuelewa Zary !!!.
 
Kwa hiyo akizaa ata mapacha watatu bi tukinini roho imtoke

Ila wanawake wengi wenu ni wabinafsi, wachoyo, wavivu, warahisi, wagawaji kwa wenye hela zao ahhhhhh

Kumbe ni maongezi ya wanawake haya bana labda wanawake wa tz papuchi zao kama parachichi(sio wote) ndo maana almasi anapenda za pande za kina kansime
 
Ndio maana muda mwingi yupo bongo ,,na ni muislam anaweza oa wanne
 
Ivi jaman ,,tukisema ukweli..

Mbu na Tembo niyupi anakupa Kifungo chamaisha,,au kifo au tuu ukibahatika kutokukamatwa anakupa Mali ???.

Wachen Zary awe Zary!!!. Huyu mwanamke naona watu wanamsodoa kwasababu she is the queen of her own empire !!!!... Wategemeaji ,,hawawezi kamwe kumuelewa Zary !!!.
Empire zipi za urithi hata Hamisa atapata tu usijali kama ilivyo kwa jack Mengi
 
Zary mpaka anakua na Ivan alikua tayar keshajijengea empire nandio maana Ivan akamuona otherwise asingeonekana !!...

Mambo ya urithi ,nihabar za kushindwa !!!......
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom