Sonia G
JF-Expert Member
- Jul 13, 2014
- 3,071
- 3,909
Mpe ushauri sasa
Hawashauriki hawa wacha yamkute kama mwenzie wema kashauriwa mara ngap baada ya kuzaa na Dai ni mtu asiyejielewa anapenda mashindano huku hana pesa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpe ushauri sasa
Weeeeeeeee kama hujui nyamaza fstilia upya kabisa,walianza na zari mojaZary mpaka anakua na Ivan alikua tayar keshajijengea empire nandio maana Ivan akamuona otherwise asingeonekana !!...
Mambo ya urithi ,nihabar za kushindwa !!!......
Umeona na mama yake queen darlin kadakwa china na ngadaYaani wanaosema hamissa kafanya vibaya kwenda siwaelewi hivi mtu ukatae hela kisa kuna mbaya wako?
Hamissa kafanya poa kumjibu, Zari alimuonea sana wema bora kapata cha mdomo mwenzie!!
Kulia au kutokulia nihabar nyingine za kihisia tu tena nimtu namtu.Weeeeeeeee kama hujui nyamaza fstilia upya kabisa,walianza na zari moja
Ila zari kiboko jana uganda kalia eti kisa kajaza,lakim msiba wa mama yake hakulia heko
Weka uthibitisho acha maneno weka hizo empire alizojijengea kabla ya ivanKulia au kutokulia nihabar nyingine za kihisia tu tena nimtu namtu.
Narudia ,,Zary nimwanamke alojijengea empire yake kwanza ndipo akaja kukutana na Ivan ,!!!!.
Zary huwezi kumlinganisha na celebrities wahapa Bongo ,,hayupo na hajatokea !!!!.
This is too cheap kwa sababu am certain huyo Zari hana ugomvi na wewe na wala hakufahamuHehehe zari nnoooma kumbe yale mambo yumo piaView attachment 656970
Hee aisee alikua amejijenga wapi? Kwenye interview zake anasema kabisa walianza chini na Ivan toka Ivan akiwa mganga wa kienyeji!! Ndiyo maana Ivan alimpenda sana sababu ni mwanamke walietoka nae chini!!Zary mpaka anakua na Ivan alikua tayar keshajijengea empire nandio maana Ivan akamuona otherwise asingeonekana !!...
Mambo ya urithi ,nihabar za kushindwa !!!......
Nisaidie kuuliza akijibu na kuweka hizo empire alizojijengea nakujaHee aisee alikua amejijenga wapi? Kwenye interview zake anasema kabisa walianza chini na Ivan toka Ivan akiwa mganga wa kienyeji!! Ndiyo maana Ivan alimpenda sana sababu ni mwanamke walietoka nae chini!!
Hela zimemkuta akiwa na Ivan.....Ivan ndiyo chanzo cha utajiri wake!!
Mimi nampongeza ana akili sana za kutafuta na kujiongeza, ingawa simkubali ila sifa yake nampa
Nilikuwa namuona Wa maan kumbe mpuuzi Tu.Mgomvi balaa
We hauna hata data kidogo?Hahaha waulize wanaosema tajiri ana ma empire
Ngoja nizoom kwanzaHehehe zari nnoooma kumbe yale mambo yumo piaView attachment 656970
Unajua nn mkuu,,, Leo hii Maria siku akiolewa ,naye baadae akiojiwa atakuambia ** Mume Wangu tumetoka naye mbali ,sikua nakitu kabisa lkn nashukuru mpaka tulipofikia**.Hee aisee alikua amejijenga wapi? Kwenye interview zake anasema kabisa walianza chini na Ivan toka Ivan akiwa mganga wa kienyeji!! Ndiyo maana Ivan alimpenda sana sababu ni mwanamke walietoka nae chini!!
Hela zimemkuta akiwa na Ivan.....Ivan ndiyo chanzo cha utajiri wake!!
Mimi nampongeza ana akili sana za kutafuta na kujiongeza, ingawa simkubali ila sifa yake nampa