Zari vs Hamisa mambo ni hivii instagram

Zari vs Hamisa mambo ni hivii instagram

Status
Not open for further replies.
Zary mpaka anakua na Ivan alikua tayar keshajijengea empire nandio maana Ivan akamuona otherwise asingeonekana !!...

Mambo ya urithi ,nihabar za kushindwa !!!......
Weeeeeeeee kama hujui nyamaza fstilia upya kabisa,walianza na zari moja
Ila zari kiboko jana uganda kalia eti kisa kajaza,lakim msiba wa mama yake hakulia heko
 
Yaani wanaosema hamissa kafanya vibaya kwenda siwaelewi hivi mtu ukatae hela kisa kuna mbaya wako?

Hamissa kafanya poa kumjibu, Zari alimuonea sana wema bora kapata cha mdomo mwenzie!!
Umeona na mama yake queen darlin kadakwa china na ngada
 
Hawashauriki hawa wacha yamkute kama mwenzie wema kashauriwa mara ngap baada ya kuzaa na Dai ni mtu asiyejielewa anapenda mashindano huku hana pesa
Kwa hiyo ulitaka zari akimpa bango Hamisa anyamaze kisa na mkasa
 
Weeeeeeeee kama hujui nyamaza fstilia upya kabisa,walianza na zari moja
Ila zari kiboko jana uganda kalia eti kisa kajaza,lakim msiba wa mama yake hakulia heko
Kulia au kutokulia nihabar nyingine za kihisia tu tena nimtu namtu.

Narudia ,,Zary nimwanamke alojijengea empire yake kwanza ndipo akaja kukutana na Ivan ,!!!!.

Zary huwezi kumlinganisha na celebrities wahapa Bongo ,,hayupo na hajatokea !!!!.
 
Weka uthibitisho acha maneno weka hizo empire alizojijengea kabla ya ivan
 
Zary mpaka anakua na Ivan alikua tayar keshajijengea empire nandio maana Ivan akamuona otherwise asingeonekana !!...

Mambo ya urithi ,nihabar za kushindwa !!!......
Hee aisee alikua amejijenga wapi? Kwenye interview zake anasema kabisa walianza chini na Ivan toka Ivan akiwa mganga wa kienyeji!! Ndiyo maana Ivan alimpenda sana sababu ni mwanamke walietoka nae chini!!

Hela zimemkuta akiwa na Ivan.....Ivan ndiyo chanzo cha utajiri wake!!

Mimi nampongeza ana akili sana za kutafuta na kujiongeza, ingawa simkubali ila sifa yake nampa
 
Nisaidie kuuliza akijibu na kuweka hizo empire alizojijengea nakuja
 
Tanzania vs Uganda...
Hawa jirani zetu wametupiku hata katika viwango vya fifa.
 
Hee aisee alikua amejijenga wapi? Kwenye interview zake anasema kabisa walianza chini na Ivan toka Ivan akiwa mganga wa kienyeji!! Ndiyo maana Ivan alimpenda sana sababu ni mwanamke walietoka nae chini!!

Hela zimemkuta akiwa na Ivan.....Ivan ndiyo chanzo cha utajiri wake!!

Mimi nampongeza ana akili sana za kutafuta na kujiongeza, ingawa simkubali ila sifa yake nampa
Unajua nn mkuu,,, Leo hii Maria siku akiolewa ,naye baadae akiojiwa atakuambia ** Mume Wangu tumetoka naye mbali ,sikua nakitu kabisa lkn nashukuru mpaka tulipofikia**.

Nature ya wanadamu ktk mahusiano nimoja.....hata km wamekutana wote wanamaisha safi ,,nilazima aongezee miaka kadhaaa ya shidaaa ,hii ni ilimradi tu ,kuonyesha kua Wametoka mbali na wapi inrealation kwa muda mwingi. .

Tukiachana nahayo ,,Zary nizary nahuwezi kumfananisha na celebrities wahapa Bonge hamnaaa hamna kwasababu hawapo independent wote ni wadangaji !!!! ...kudanga danga ili waishi.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom