Zari white party

Amtomb€ atombek€ sasa....apige mashine akikaa anachanganyikiwa kwa kumuwaza...!!! 💏💏

Maskini Wema....atakufa kwa pombe kali na ataanza kugawa papuchi hovyo hovyo kwa frastrutions za kuachwa...ndio akome aache umalaya...!!!
 
Wema ndio amemwacha Chibu sasa kwa nn aumie!! But naturally kuna maumivu anayapata... Hizo pics ni msumari wa moto kwenye kidonda....
 
Aisee ni hatariiii,sipati picha baba watoto wa Zari,roho inataka kumtoka,Wema nae dozi za vodka zitaongezeka

Baba watoto alishazoea kurushwa roho sidhani kama anayapata maumivu sana, shida ni kwa ndugu yangu Wema, mpaka azoee Dah atakuwa kapata maumivu ya ajabu sana... I think anahitaji mtu wa karibu ili asigide sana vodka
 
Unajua Wema,baada ya kusikia habari za Menina akaona ajibu kwa BMW,sasa ndomo akachukia,Wema akamuacha Diamond naona hakuwa kajiandaa kwa lolote,Diamond kaja na kitu Zari.Wema lazima aumie sana tena sana alitegemea labda Chibu atarudi ,kumbe ndo mazima
 
Poor her sasa avumilie tu maana naona Chibu amedhamiria kumpa maumivu haswa.. Hizi show-offs ni za kufa mtu aisee..

Halafu Wema nae hao washauri wake mmh wanamdanganya tu.. Ningekuwa ndugu yake aisee ningekuwa namweka kikao daily.. Umri unaenda huo kuhongwa kunapungu
 
Huko IG kimenuka doguemasta kamwaga zingine za zari kumbe zari alikamatwa siku ile ya pati asubuhi kaachiwa kwa dhaman du kali
 
Mimi nashindwa kuelewa watanzania wenzangu, issue ya zari na Almasi inakuwa main subject!! Mimi nafikiri maisha ya watu binafsi tuyaache kama yalivyo hata maandiko yanasema Mathayo 7
1 Msihukumu, msije mkahukumiwa ninyi.

2 Kwa kuwa hukumu ile mhukumuyo, ndiyo mtakayohukumiwa; na kipimo kile mpimiacho, ndicho mtakachopimiwa.

3 Basi, mbona wakitazama kibanzi kilicho ndani ya jicho la ndugu yako, na boriti iliyo ndani ya jicho lako mwenyewe huiangalii?

4 Au utamwambiaje nduguyo, Niache nikitoe kibanzi katika jicho lako; na kumbe! Mna boriti ndani ya jicho lako mwenyewe?

5 Mnafiki wewe, itoe kwanza ile boriti katika jicho lako mwenyewe; ndipo utakapoona vema kukitoa kile kibanzi katika jicho la ndugu yako.
 
Umeshushukaje....

Acheni wivu

Palijaa watu na pesa zao kwa mamia walishibdwa kuingia.

Duh wa TZ mna wivuuuuuuuuu umbeya uwongo hauwapeleki kokote

Soma vizuri comment yangu. Usikurupuke.
 
Huko IG kimenuka doguemasta kamwaga zingine za zari kumbe zari alikamatwa siku ile ya pati asubuhi kaachiwa kwa dhaman du kali

Muongo tu yule
Ni wapumbavu coz wanashindana kwa kuchafuana! Utafikiri hao kina wahusika wanawafahamu na team zao za kijinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…