Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,916
- 43,505
Jamani hivi yule msemaji wa domo wa humu jf mbona sikuhizi simsikii?
hahahaha heaven on desert bila shaka alifungwa speed gavana!
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamani hivi yule msemaji wa domo wa humu jf mbona sikuhizi simsikii?
Aiseeee
kama kuna uwezekano wa kumuokoa huyu dogo....tafaaadhal mumsaidie......
'waganda' nina wafahamu..........isije ikawa... 'lulu iliyopotea','nyota iliyozimika' etc.
Huyu zari anatumia nguvu nyingi sana katika hii show yake. Za chini ya kapeti from Kampala zinasema watu wanaweza kuisusa cz diamond hakubaliki ndani ya ardhi ya uganda. Watu wana suggest bora zari angemtumia AY au Prof J kama is the issue ya kupata artist from tz.

mara tano ya aliokuwanao kabla ya diamond,kweli alitafuta kuwa star kupitia Diamondzari saiv ana followers 100k
Ma X wa Zari na wa Diamond wanatamani kufaPicha nzuri bomba kama hizi zinaliza watu kwa wivu na ndimu awana
Wivu mbaya wa TZ fanyeni yenu tuwaone
Aisha nae alikuwaga noma,mpaka south africa na ma Pedegee.Yana mwisho hayaNyie msifieni tu huyo diamond kwa k, hata Aisha Madinda - rip alisifiwa hivyo hivyo enzi zake.. Kila la kheri dimondo!