Zari white party

Zari white party

kama kuna uwezekano wa kumuokoa huyu dogo....tafaaadhal mumsaidie......
'waganda' nina wafahamu..........isije ikawa... 'lulu iliyopotea','nyota iliyozimika' etc.

Mambo ya Mr. Nice expected.....
 
Huyu zari anatumia nguvu nyingi sana katika hii show yake. Za chini ya kapeti from Kampala zinasema watu wanaweza kuisusa cz diamond hakubaliki ndani ya ardhi ya uganda. Watu wana suggest bora zari angemtumia AY au Prof J kama is the issue ya kupata artist from tz.

Haya ona ilivyofunika
 
Attachments

  • 1419006609804.jpg
    1419006609804.jpg
    40.7 KB · Views: 535
Nyie msifieni tu huyo diamond kwa k, hata Aisha Madinda - rip alisifiwa hivyo hivyo enzi zake.. Kila la kheri dimondo!
 
Huyu zari anatumia nguvu nyingi sana katika hii show yake. Za chini ya kapeti from Kampala zinasema watu wanaweza kuisusa cz diamond hakubaliki ndani ya ardhi ya uganda. Watu wana suggest bora zari angemtumia AY au Prof J kama is the issue ya kupata artist from tz.

Umeshushukaje....

Acheni wivu

Palijaa watu na pesa zao kwa mamia walishibdwa kuingia.

Duh wa TZ mna wivuuuuuuuuu umbeya uwongo hauwapeleki kokote
 
Nyie msifieni tu huyo diamond kwa k, hata Aisha Madinda - rip alisifiwa hivyo hivyo enzi zake.. Kila la kheri dimondo!
Aisha nae alikuwaga noma,mpaka south africa na ma Pedegee.Yana mwisho haya
 
Back
Top Bottom