Emma.
JF-Expert Member
- Jun 25, 2012
- 19,932
- 5,563
hakuna wivu huu ulimbukeniPunguza wiiivu mkuu..
.This lady is so hot hata mi nisingemwacha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hakuna wivu huu ulimbukeniPunguza wiiivu mkuu..
.This lady is so hot hata mi nisingemwacha
Kama mwamamume mwenye akili timamu...huwezi kuruka hiki kiunzi...tuseme ukweli demu ni mtamu sana huyu..Dogo jichapie mpaka uone kuna nini ndani....
The way you comment,thats all!
U just make me laugh
Kama mwamamume mwenye akili timamu...huwezi kuruka hiki kiunzi...tuseme ukweli demu ni mtamu sana huyu..Dogo jichapie mpaka uone kuna nini ndani....
Aiseeee
Hivi inahusu kumpangia MTU matumizi ya kiungo chake?
"Eti wanampangia kiwango cha kupiga pmbu" by Paula kilaki
Ila jamani mbona mi sioni tatizo ni nini, hebu nifungue macho kidg kosa lake ni lipi?
lols! Chibu ana mapenzi ya wizi!
Nachoshangaa mimi akiwa na wema haonekani km malaya bt kwa wengine ndo malaya!
Hahahaa !
Hahahaa
Tatizo yupo na zari ndo anaonekana malaya akiwa na wema sio malaya!
kila Christmas mwanamke mpy ilikuwa WEMA-JOKATE-PENNY-WEMA-ZARI.Hataree sasa hapo atawaonyage wanae wakiwa adults
Dah! Kwa hiko kisu , wacha diamond ajikate tu.
Halafu hawa pamoja na mapenzi , wapo kazini.... Wanajipromo kwa kutumiana.
Hahahaa diamond ni shidaa, akipost picha yake na zari anawaalert walambe ndimu sasa jioni hii watu wameanza kulalama ndimu zimeisha bongo hahahah wacha project iendelee