Zari white party

Zari white party

He he he he he lazima wajue tofauti ya X na kuzidisha ..msalaba na jumlisha. .vichecheeee ... platnmuz kamua baba
 
zari4.jpg

Duh...... This woman rocks! She is pretty! I admire her million times!
 
unaweza kujiona mjanja kumbe bonge la fa.la..........,

K alizikuta na ataziacha....

kweli kabisa maneno yako hivi vitu hujui vitadumu kwenye mitandao miaka yote sijui utawafunza nini watoto wako utasema tazama baba alivyokuwa kitombi bora hana uzazi
 
Siipendi tabia ya Diamond kubadili badili Mademu ila nakubali huyu Zari ni mkali wacha. Huyu manzi ni soo!
 
Hivi wanakuwaga na mtu spesho kwa ajili ya kuwafotoa? Teh soon tutaona video wanafilimbana!
 
On the other side unagundua wanawake ni viumbe wa ajabu sana, yaani platinumz anavyowanyoba na kuwaweka mitandaoni ndio wanazidi kuja kwake kwa kasi ya ajabu, kweli huu uumbaji huu dah! Ila all in all dogo anakula mbunye kali sanaa! Subirini muone akimalizana na uganda tu, ngozi mpya itakwea faster!
 
Ivi kua star ndo kulala na kila mtu?na haya mgonjwa lol.... mambo mengine ni Kutojitambua tu

Jamani msimshambulie Diamond bure; halali na kila mtu, analala na wanawake wazuri wenye hadhi fulani tu: kubalini hilo kwanza. Muda mfupi baada ya kusoma post hii nimepitia pale global publishesrs kusearch wanawake waliowahi kualala na diamond nikakuta list inaonyesha kuwa wengi wao ni mastaa wenye hadhi zao. Majina niliyopata haraka haraka ni haya: Rehema Fabian (Simfahamu), Jacqueline Wolper (Ni star wa hadhi), Upendo Moshi (simfahamu), Natasha (simfahamu), Wema Spepetu (Star mwenye hadhi), Aunt Ezekiel (Staa Mwenye hadhi), Jokate Mwengelo (Star mwenye hadhi), Irene Uwoya (Star mwenye hadhi), Penniel Mgimwa (Star mwenye hadhi), Avril (Star mwenye hadhi), Victoria Kimani (Star mwenye hadhi) na sasa Zari Hassan (Star mwenye hadhi ya kutisha). Kwa hiyo mwacheni Diamond atumie muda wake; akichoka ataacha, siyo kumtupia matusi yasiytokuwa na maana. Yeye siyo zoa zoa vile; after alll Zari mwenyewe ndiye aliyempaparikia alipomowna kwenye ndege. Kumbukeni hawa wanawake kwake huwa ni sehemu ya kujitangaza katika biashara yake ya muziki. Ni jukumu lao wenyewe kujipima kama ni sahihi kulala naye, siyo jukumu lake.
 
Back
Top Bottom