Zarina Hakujiandaa kwa Shambulio la kustukiza

Zarina Hakujiandaa kwa Shambulio la kustukiza

Hapo ndipo utakapo jua kauli za mwanaume huwaga nzito sana na ndio maana tunapenda kukaaga kimya kujifanya wajinga ili kulinda hadhi za wenza wetu.

Kipindi Gardiner kaachana na Jide ,Jide kila siku kumponda kwenye social network na kumuongelea vibaya Gardiner mpaka kumwimba katika Ndi Ndi Ndi lakini jamaa akakaa kimya,ila siku yalipo mzidia ,Gardiner kauli yake ya maneno machache (KUKOJOZA) ,kulilipuka humu JF,Inst,FB mpaka Kigwangala akamtaka Gardiner amwombe msamaha Jide lakini Gardiner akakaza.

Leo Diamond ,Zali kamwongea zaidi ya mwaka mzima kwenye Insta,Snapchat kutwa kumponda Mondi,interview za nyuma Mondi kila akiulizwa maswala ya Zari anapotezea,ila interview ya masaa matatu ya Juzi Diamond anaonekana mkorofi na ndio maana mara nyingi wanaume tunashauriwa kupotezea sababu kauli zetu huo nzito sababu kiasili sisi wanaume ndio wenye mamlaka hapa duniani.
Kwa kweli sasa hivi zari anahaha!
 
Fanya yote lkn usitembee na ben10.
Ukitmbea nae akianza kukunanga wewe uchune tu. Yule bimdashi kama kweli ni wa viwango asingekubali kuvumiliana na uswahili wetu..hayo angetuachia sisi tu.
Sema yote lkn usishindane na mswahili neno lake moja mzigo.
 
Nani aliyemuanza mwenzie? Apo Ndo utajua nani Ana stress na maisha ya mwenzie, domo Ana demu mpya, why anakazana na zari ? roho inamuuma Ndo bas Tena , toto lishachukuliwa na wenye wadhifa wao.
Eti nini?toto!!usitutanie bhana angalau sema Bibi.
 
Hivi mwanaume anaanzaje kujipima na ex wake kama alishamove on!!
Hivi wasafi ya Diamond au ndo mambo ya Diamond karanga
Aiseee kuwa makini hilo suala kalizungumzia tatizo mnasikiliza vi_clip vya kwenye udaku wala wanajua kucheza na akili zenu wanajua nini mnataka msikie na nini hamfagilii.

Kasema hivi Wasafi media wanashea watu wawili tu yeye na mwingine hakumtaja jina akaulizwa ni nani ila akasema ni mbongo.

Hata diamond karanga, chibu perfume n.k anashea na watu si za kwake peke yake akatolea mfano ciroc ya pdidy nayo si yake peke yake anashea na mtu hata jay z Tidal anashea na watu. IPP yenyewe mengi anashea na watu japo yeye ndo mwenye hisa kibao
 
Hapo ndipo utakapo jua kauli za mwanaume huwaga nzito sana na ndio maana tunapenda kukaaga kimya kujifanya wajinga ili kulinda hadhi za wenza wetu.
Kipindi Gardiner kaachana na Jide ,Jide kila siku kumponda kwenye social network na kumuongelea vibaya Gardiner mpaka kumwimba katika Ndi Ndi Ndi lakini jamaa akakaa kimya,ila siku yalipo mzidia ,Gardiner kauli yake ya maneno machache (KUKOJOZA) ,kulilipuka humu JF,Inst,FB mpaka Kigwangala akamtaka Gardiner amwombe msamaha Jide lakini Gardiner akakaza.
Leo Diamond ,Zali kamwongea zaidi ya mwaka mzima kwenye Insta,Snapchat kutwa kumponda Mondi,interview za nyuma Mondi kila akiulizwa maswala ya Zari anapotezea,ila interview ya masaa matatu ya Juzi Diamond anaonekana mkorofi na ndio maana mara nyingi wanaume tunashauriwa kupotezea sababu kauli zetu huo nzito sababu kiasili sisi wanaume ndio wenye mamlaka hapa duniani.
Umefunga mjadala mzee..!!
👏👏👏👏👏👏👏👏👏
 
Zari kapata umaarufu Tanzania baada ya kuwa Dai,Zari kapata umaarufu E.A nzima baada ya kuwa na Dai.

Kapata followers kibao baada ya kuwa na Dai leo hii wabongo na wakenya wakimu_Unfollow hahaha nazani atabaki na 900K tu.

Kile chuo nadhani ni sawa na Mapinga education institute ya Sinza mapambano hakina hela😓😓.

Mwenzake anamiliki Media ambayo itamlipa mpaka anakata moto.

ALAFU MAAJUZA WENGI WA KIBONGO WANACHUKI ZA NJE NA DAI KWA KU_SIDE NA ZARI KUMBE NDANI WANAUMIA KWANINI WAO ANAWAMEGA TU KAMAKINA RUKY CUTE DORY CUTE ALAFU AKABEBE MWANAMKE OFFICIAL TAIFA JINGINE 😝😝😝

Ahahahahahahahhahaha uwiii umemalizaa
 
Naona alipost video akikanusha then akafuta...
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
56800927_143336136719772_6866697284335925670_n.jpg
 
Muulize anamfahamu linda?(dada yake richard mshindi wa BBA)ana watoto watano kila mmoja ana baba yake na kila mmoja taifa jingine.
Watoto 5 baba 2 it's very normal
Alikiba ana watoto 4 Kila mtoto na mama yake yaani mama 4
 
Hapo ndipo utakapo jua kauli za mwanaume huwaga nzito sana na ndio maana tunapenda kukaaga kimya kujifanya wajinga ili kulinda hadhi za wenza wetu.

Kipindi Gardiner kaachana na Jide ,Jide kila siku kumponda kwenye social network na kumuongelea vibaya Gardiner mpaka kumwimba katika Ndi Ndi Ndi lakini jamaa akakaa kimya,ila siku yalipo mzidia ,Gardiner kauli yake ya maneno machache (KUKOJOZA) ,kulilipuka humu JF,Inst,FB mpaka Kigwangala akamtaka Gardiner amwombe msamaha Jide lakini Gardiner akakaza.

Leo Diamond ,Zari kamwongelea zaidi ya mwaka mzima kwenye Insta,Snapchat kutwa kumponda Mondi,interview za nyuma Mondi kila akiulizwa maswala ya Zari anapotezea,ila interview ya masaa matatu ya juzi Diamond anaonekana mkorofi na ndio maana mara nyingi wanaume tunashauriwa kupotezea sababu kauli zetu huwa nzito sababu kiasili sisi wanaume ndio wenye mamlaka hapa duniani.
Duuh!eti kukojoza[emoji16][emoji16][emoji16]!
Na hatimaye kaenda tena ili apewe service.![emoji124][emoji124][emoji124]
 
Inaonekana wazi aliekua kimada wa mwanamuziki wa bongo fleva Nassib Abdul,Zarina Hassan Tlale,hakujiandaa kwa shambulio la kustukiza kutoka kwa baba watoto wake huyo.

Kwa sasa Zarina na genge lake wanajitahidi kumwaga fafanuzi na vijembe kwenye social media,huku aliedondosha bomu la nyukilia akiwa Korea ya kusini hana hata habari.

Zarina anajaribu kutuaminisha kwamba bila yeye Diamond asingejulikana,huu ni uongo wa mchana kweupe

Zarina anajaribu kubeza kwamba nyumba alionunuliwa,si chochote kwa kua hapo kabla hakuwahi kuishi jalalani. Ukweli ni kwamba pamoja na mbwembwe zote mitandaoni hapo kabla, Zarina hakuwahi kuishi kwenye nyumba yake huko bondeni ndio maana baada ya Diamond kufanya tathmini akaona anunue nyumba kwa ajili ya utulivu wa watoto.

Kwa sasa Zarina angejaribu kuwa mtulivu tu, na kuendelea na kazi zake pamoja na kuendelea kutupostia mabega ya huyo king bae wake. Kama anajiamini amuweke hadharani badala ya kutishia watu nyau.

Diamond huwa hana aibu wala adabu hata chembe linapokuja suala la kueleza maisha yake
zarina ni drug dealer, angeendelea kuishi bongo serikali ingemtia pingu, akatafuta visa achomoke bongo
 
Back
Top Bottom