Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
Na hapa je?
Walikua wanakataa nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walikua wanakataa nini?
Duhzarina ni drug dealer, angeendelea kuishi bongo serikali ingemtia pingu, akatafuta visa achomoke bongo
[emoji23][emoji23][emoji23]kwaiyo huyu kaliwa Sasa diamond mbona ana bahati mbayaNa hapa je?View attachment 1082029
Zari kachanganyikiwa,anadhani anamuumiza DiamondKiukweli as a woman Zari anakosea hivi mwanamke anaejitambua anaweza ingiza hawara ndani kwake?tuacheni unaafiki tena una watoto wakubwaa?
Hivi wanawake tuna shida gani?kwanza kitendo chenyewe tu uchafu(uzinzi)unafanya hadharani mbele ya watoto?
Halafu nyumba umenunuliwa na mwanaume mwingine unaingiza mwanaume mbele ya watoto zako?wanakuona anakulala anaondoka daahh!
Sijawaza na sitafikia hukoo nimeapa wanangu hawatokaa wamjue hawara yangu hata akiwa na pesa unless anioe kabisaa ila sio kuzini tuu!
Wanaomtetea Zari anayoyafanya ni makahaba tu yasio na maadili!!!
Zari kachanganyikiwa,anadhani anamuumiza Diamond
Wabongo bhana mnavyopenda kuwapangia watu namna ya kuishiKiukweli as a woman Zari anakosea hivi mwanamke anaejitambua anaweza ingiza hawara ndani kwake?tuacheni unaafiki tena una watoto wakubwaa?
Hivi wanawake tuna shida gani?kwanza kitendo chenyewe tu uchafu(uzinzi)unafanya hadharani mbele ya watoto?
Halafu nyumba umenunuliwa na mwanaume mwingine unaingiza mwanaume mbele ya watoto zako?wanakuona anakulala anaondoka daahh!
Sijawaza na sitafikia hukoo nimeapa wanangu hawatokaa wamjue hawara yangu hata akiwa na pesa unless anioe kabisaa ila sio kuzini tuu!
Wanaomtetea Zari anayoyafanya ni makahaba tu yasio na maadili!!!
Wabongo bhana mnavyopenda kuwapangia watu namna ya kuishi
Zari watoto wake 3 wale wakubwa wanasoma moja ya shule expensive zaidi South Africa mtoto mmoja Ni zaidi ya mil.38 kwa mwaka. Wewe upo bongo uku kwenye Instagram unamfunga have namna ya kuishi ukiwa umepanga chumba Cha elfu 50 kwa mwezi.
[emoji23][emoji23][emoji23]
Picha kama hii hata wewe unaweza kupiga mdogo wangu. Usiwe limbukeni.Inauma sana STUPID akiona picha hiziView attachment 1081448
Na hawa watetezi wake hapa jf wanaingia kwenye kundi lipi ?Mtu anayetupa madongo mengi mengi. kwa siku mara nne huyo jiwe la Gizani limempata
Nawaachia sasa mambo yenu
Pancho woooske!
Ni kama kimbunga KenethHahhahaaaaa chezea shambulio la usiku wewe!
Mbona umejihisi? nimesema wabongo wbea hasa walio Instagram maana wengi wao ndo maisha Yao.Wabongo bwana kupenda kushoboka na watu wa nje!haijalishi analipa ada shillings million au billion I..ameliwa na diamond kazalishwa anatapatatapa daily!!
Jifunze kubalansi shoba we mtoto wa kiume!!!!
BTW ktk maisha yangu sijawahi kaa chumba kimoja sikumbuki Kwanzaa....!!!
Nnapokaa hujawahi hata kuomba maji!!!
Kama wanaomtetea Zari ni makahaba basi humu jf kuna makahaba wengi sana.Kiukweli as a woman Zari anakosea hivi mwanamke anaejitambua anaweza ingiza hawara ndani kwake?tuacheni unaafiki tena una watoto wakubwaa?
Hivi wanawake tuna shida gani?kwanza kitendo chenyewe tu uchafu(uzinzi)unafanya hadharani mbele ya watoto?
Halafu nyumba umenunuliwa na mwanaume mwingine unaingiza mwanaume mbele ya watoto zako?wanakuona anakulala anaondoka daahh!
Sijawaza na sitafikia hukoo nimeapa wanangu hawatokaa wamjue hawara yangu hata akiwa na pesa unless anioe kabisaa ila sio kuzini tuu!
Wanaomtetea Zari anayoyafanya ni makahaba tu yasio na maadili!!!
Umenena vemaHapo ndipo utakapo jua kauli za mwanaume huwaga nzito sana na ndio maana tunapenda kukaaga kimya kujifanya wajinga ili kulinda hadhi za wenza wetu.
Kipindi Gardiner kaachana na Jide ,Jide kila siku kumponda kwenye social network na kumuongelea vibaya Gardiner mpaka kumwimba katika Ndi Ndi Ndi lakini jamaa akakaa kimya,ila siku yalipo mzidia ,Gardiner kauli yake ya maneno machache (KUKOJOZA) ,kulilipuka humu JF,Inst,FB mpaka Kigwangala akamtaka Gardiner amwombe msamaha Jide lakini Gardiner akakaza.
Leo Diamond ,Zari kamwongelea zaidi ya mwaka mzima kwenye Insta,Snapchat kutwa kumponda Mondi,interview za nyuma Mondi kila akiulizwa maswala ya Zari anapotezea,ila interview ya masaa matatu ya juzi Diamond anaonekana mkorofi na ndio maana mara nyingi wanaume tunashauriwa kupotezea sababu kauli zetu huwa nzito sababu kiasili sisi wanaume ndio wenye mamlaka hapa duniani.
Mbona umejihisi? nimesema wabongo wbea hasa walio Instagram maana wengi wao ndo maisha Yao.
Kuzaaa na Diamond Wala hukumfanyi kuwa Kama unavyofikiria
Kwa akili ya kawaida tu Diamond alimkuta Zari barabarani?
Diamond mwenyewe anajua hata alisema Zari ahame ,sehemu ya kuishi anayo na ndo maana Zari mwenyewe anamvimbia Diamond, it's simple like that
Yaani mtu CEO wa chuo Mali zote za Ivan ziko chini yake mnajipa moyo kabisa akiondoka kwenye ile Nyumba atakosa pa kuishi?
Tutakujuaje, punguza njaa kijanaInaonekana wazi aliekua kimada wa mwanamuziki wa bongo fleva Nassib Abdul,Zarina Hassan Tlale,hakujiandaa kwa shambulio la kustukiza kutoka kwa baba watoto wake huyo.
Kwa sasa Zarina na genge lake wanajitahidi kumwaga fafanuzi na vijembe kwenye social media,huku aliedondosha bomu la nyukilia akiwa Korea ya kusini hana hata habari.
Zarina anajaribu kutuaminisha kwamba bila yeye Diamond asingejulikana,huu ni uongo wa mchana kweupe
Zarina anajaribu kubeza kwamba nyumba alionunuliwa,si chochote kwa kua hapo kabla hakuwahi kuishi jalalani. Ukweli ni kwamba pamoja na mbwembwe zote mitandaoni hapo kabla, Zarina hakuwahi kuishi kwenye nyumba yake huko bondeni ndio maana baada ya Diamond kufanya tathmini akaona anunue nyumba kwa ajili ya utulivu wa watoto.
Kwa sasa Zarina angejaribu kuwa mtulivu tu, na kuendelea na kazi zake pamoja na kuendelea kutupostia mabega ya huyo king bae wake. Kama anajiamini amuweke hadharani badala ya kutishia watu nyau.
Diamond huwa hana aibu wala adabu hata chembe linapokuja suala la kueleza maisha yake
Acha kusingizia Mungu hapendi
Ina mana hata kama mayai yameisha atapata mimba?
Muulize anamfahamu linda?(dada yake richard mshindi wa BBA)ana watoto watano kila mmoja ana baba yake na kila mmoja taifa jingine.
Hahaha swali la msingi kwanini ahame?Hahahaaaa...sijajihisi huo ndo ukweli msiouna kwa kua mna mapenzi binafsi hayo mambo angefanya mbongo angetukanwa mpk wazazi wake!!!
Kama ana nyumba si ahame why anakubali kuliwa kwenye nyumba ya ex wake!?huo ni ufedhuli bwanaa hata kama hamumpendi diamond!Vaa viatu vya diamond kwanza Mara moja!!
Zari hana nyumba kama ana chuo si akalale chuoni!
Vitu vingine havihitaji shule jamani!ukweli ulio wazi!huyo bwana ake amnunulie baasi nyumba kama kazi rahisi!!