Nimeisikia mahali kuwa kumbe mke wa zamani wa Diamond Platnumz na yule wa sasa Tanasha Dona, sijui Sembe, ni ndugu na kwamba Zari anamtumia Tanasha kum-monitor na kum-control Diamond.
Lengo ni kumfilisi kabisa na mwisho wa siku wamwache solemba. Unaambiwa Zari ni mafia aliyeshindikana na kwamba utajiri alionao amekuwa akiupata kwa njia hizo. Hebu wanaofahamu ukweli wa jambo hili tusaidieni nasi tujue!!
Kama wewe ni mwanaume hebu tafuta sehemu ya peke ako lia sana then mwisho tamka maneno haya "Eeh Mungu nisaidie mimi pamoja na kizazi changu tuondokane na hizi tabia za upande wa pili ili hali mimi ni mwanaume" Hope utasamehewa na utakuwa mpya kuanzia sasa na uishi kama kidume rijali.
Tafuta hela, tafuta hela, tafuta hela mara ya 3, acha udaku mwanaume mkiachwa mnalialia hapa. Umbea unao hela huna, kuwa na hela hata familia yote utaitafuna.