MJENGA
JF-Expert Member
- Nov 18, 2012
- 884
- 850
Nimeisikia mahali kuwa kumbe mke wa zamani wa Diamond Platnumz na yule wa sasa Tanasha Dona, sijui Sembe, ni ndugu na kwamba Zari anamtumia Tanasha kum-monitor na kum-control Diamond.
Lengo ni kumfilisi kabisa na mwisho wa siku wamwache solemba. Unaambiwa Zari ni mafia aliyeshindikana na kwamba utajiri alionao amekuwa akiupata kwa njia hizo. Hebu wanaofahamu ukweli wa jambo hili tusaidieni nasi tujue!!