MakinikiA
JF-Expert Member
- Jun 7, 2017
- 5,104
- 6,827
Salama wandugu,
Mimi nimefikiria kuhusu hii Tanzania nabaki nasikitika tu,niannze na watu walionusurika najua huko mliko mnafanya ibada za kushukuru, na wengine mnakata keki.Nawaomba kwa uwingi wenu changeni pesa ya kupata nyumba au boti la uvuvi mpeni huyu kijana aliyewaokoa he unajisikiaje kama nawe ungekuwa umewekewa matanga? Zawadi ya milioni 3 ndogo sana kuokoa maisha ya watu na ikizingatiwa mna uwezo mkubwa ndio maana mkapanda ndege hata mmoja kumpa nyumba huyo kijana mnaweza.