Na kwakuwa Majaliwa ni handsome boy, mmoja wa wale warembo wawili wanaohudumu kwenye ndege, awe mke wa Majaliwa.Salama wandugu,
Mimi nimefikiria kuhusu hii Tanzania nabaki nasikitika tu,niannze na watu walionusurika najua huko mliko mnafanya ibada za kushukuru, na wengine mnakata keki.Nawaomba kwa uwingi wenu changeni pesa ya kupata nyumba au boti la uvuvi mpeni huyu kijana aliyewaokoa he unajisikiaje kama nawe ungekuwa umewekewa matanga? Zawadi ya milioni 3 ndogo sana kuokoa maisha ya watu na ikizingatiwa mna uwezo mkubwa ndio maana mkapanda ndege hata mmoja kumpa nyumba huyo kijana mnaweza.
Jamani si kapewa na kazi juu!! Mnataka afanywe nini mbona mnakurupuka. Angepewa milioni 50 mngesema kuna shida ya madarasa ila mnagawa ela ovyo.kikubwa waliopona wamtafute kwa nafasi zao wampe wanachowiwaSalama wandugu,
Mimi nimefikiria kuhusu hii Tanzania nabaki nasikitika tu,niannze na watu walionusurika najua huko mliko mnafanya ibada za kushukuru, na wengine mnakata keki.Nawaomba kwa uwingi wenu changeni pesa ya kupata nyumba au boti la uvuvi mpeni huyu kijana aliyewaokoa he unajisikiaje kama nawe ungekuwa umewekewa matanga? Zawadi ya milioni 3 ndogo sana kuokoa maisha ya watu na ikizingatiwa mna uwezo mkubwa ndio maana mkapanda ndege hata mmoja kumpa nyumba huyo kijana mnaweza.
Nakupiga pichakupitia huyu Jasiri na shujaa Majaliwa, vijana mnapaswa mjifunze Uzalendo wa kulipigania Taifa letu la Tanzania wakati wowote mahali popote.
Kuna baadhi ya vijana ikitokea ajali badala ya kuokoa wahanga wao cha kwanza ni kuiba mali.....tuache unyama huo, tuwe binaadamu wenye huruma na uzalendo.
Majaliwa/Jasiri ni mfano wa kuigwa na kila kija
Hivi unajua ataanza na bei gani huko na mikopo juu na uhuru wake utakoma hapoJamani si kapewa na kazi juu!! Mnataka afanywe nini mbona mnakurupuka. Angepewa milioni 50 mngesema kuna shida ya madarasa ila mnagawa ela ovyo.kikubwa waliopona wamtafute kwa nafasi zao wampe wanachowiwa