Forest Hill
JF-Expert Member
- Mar 4, 2018
- 2,873
- 6,821
Habari zenu ndugu zangu, hopefully mpo salama,heri ya Christmass.
Kama tunavyofahamu binadamu wote tunapenda kupewa zawadi kutoka kwa wapendwa wetu,zawadi zinafanya mtu ujisikie Bora Sana, mwenye kupendwa na kujaliwa,katika msimu huu wa sikuu labda umepokea zawadi au kipindi chochote kile Cha maisha yako,zawadi Gani nzuri ulitoa uliempa akafurahi Sana? Au zawadi Gani ulipewa ikakupendeza Sana???mimi nilipopewa simu yangu ya Kwanza na Kaka yangu,nilikua kidato Cha Kwanza,nilifurahi kupita maelezo kumiliki Motorola bapa,karibuni wachangiaji...