Zawadi gani nzuri ushawahi kutoa au kupokea?

Zawadi gani nzuri ushawahi kutoa au kupokea?

Forest Hill

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2018
Posts
2,873
Reaction score
6,821
Habari zenu ndugu zangu, hopefully mpo salama,heri ya Christmass.

Kama tunavyofahamu binadamu wote tunapenda kupewa zawadi kutoka kwa wapendwa wetu,zawadi zinafanya mtu ujisikie Bora Sana, mwenye kupendwa na kujaliwa,katika msimu huu wa sikuu labda umepokea zawadi au kipindi chochote kile Cha maisha yako,zawadi Gani nzuri ulitoa uliempa akafurahi Sana? Au zawadi Gani ulipewa ikakupendeza Sana???mimi nilipopewa simu yangu ya Kwanza na Kaka yangu,nilikua kidato Cha Kwanza,nilifurahi kupita maelezo kumiliki Motorola bapa,karibuni wachangiaji...
 
Nilimpa trip ya Dar to Zanzibar kwa bus.
EpYWhcFXEAEwgef.jpg
 
Sijui kwanin Mimi ni mgumu kutoa zawadi

Yaana mambo ya zawadi sijui nini yapo kushoto kabisa na Mimi

At least uyu mwanamke nilienae anajaribu kunibadilisha
 
Nilipewa smartphone aina ya Samsung A30s kutoka kwa dada angu kipenzi, ilikua baada ya matokeo ya kidato cha 6.
Nilifurahi mnoooh tena zaid.
 
Upendo.. niliyenaye ananipa upendo wa hali ya juu Yani haupimiki[emoji7][emoji7] ni zawadi kutoka kwa Mungu naona[emoji1431] from the day we met hadi sasa
Zawadi kutoka kwa Mungu au zawadi kutoka kwa mume wako? 😜😜
 
Nilimtengenezea frame kubwa yenye picha yake alifurahi sana ingawa haikuzuia kuendeleza mahusiano mengine na wanaume wengine
 
Back
Top Bottom