Tajiri Kichwa
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 9,021
- 22,016
Mimi huwa natuma tu pesa randomly akanunue yeye anachofaka. Me siwezi jua kitu gani nipeleke sasa atapenda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rabaaaikaaaaa...Poor brain!
Zawadi na pesa ni tofauti...Mimi huwa natuma tu pesa randomly akanunue yeye anachofaka. Me siwezi jua kitu gani nipeleke sasa atapenda
Kwa utamu gani,....... Simba la masimba DangoteHata gari Kali nayo ni zawadi...
Mkuu hii ya chipsi na yogart hii...chips na yoghurt😂
YogurtDuuuh mi wangu anasema anataka
Yogart
Mkuu huyu mbona kama wa kwangu hebu taka location kwanza.chips na yoghurt[emoji23]
Ududu uliopakazwa mkongoMm girlfriend wangu huwa namnunulia makufuli tu huwa ana enjoy sanaaa.
Nikiwa high school kuna jamaa mmoja aliwah kumzawadia demu pedi ..aiseee yule demu alipandisha moriiiiii akataka kukunja ngumi na jamaa
Idea kaliMnunulie mkufu mzuri wa shingoni au perfum
Na ww pia zam yako ya kumkunja inakuja ni swala la kutia bidii katika kila jambo na kila wakatiDah! Haya maisha haya, wakati unawaza umfurahishe vp na vijizawadi, mwenzako anabuni style kadhaa wa kadhaa za kumkunja...
Sawa ni yogurt....Yogurt
Hiyo picha hapo ina maana gani 😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙌Level ya kipato chako ndio itaamua.
Ukiweza mpatie gari, ukishindwa mpatie zawadi za siku zote za common man kama mkufu, perfume, kiatu, kufuli, backet la chocklate n.k
Kama itakuwia ngumu kumchagulia zawadi, tafuta ua kubwa lichomeke mkwanja wa kutosha kuanzia 100,000/= nakuendelea ili akajinunulie akipendacho.
#ukipendwapendekaView attachment 2788977
Mwamba anapikwa, akishaiva atakuwa anatoa zawadi kwa mwenza wake😂😂😂😅😅😅.Hiyo picha hapo ina maana gani 😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙌
😂😂😂😂😂😂😂😂🙌 nimecheka kwa sauti...Mwamba anapikwa, akishaiva atakuwa anatoa zawadi kwa mwenza wake😂😂😂😅😅😅.
Kimsingi hiyo picha ipo wazi kwa kila mtu na tafsiri yake.