Zawadi gani nzuri ya kumpa mpenzi wako

Zawadi gani nzuri ya kumpa mpenzi wako

Level ya kipato chako ndio itaamua.
Ukiweza mpatie gari, ukishindwa mpatie zawadi za siku zote za common man kama mkufu, perfume, kiatu, kufuli, backet la chocklate n.k

Kama itakuwia ngumu kumchagulia zawadi, tafuta ua kubwa lichomeke mkwanja wa kutosha kuanzia 100,000/= nakuendelea ili akajinunulie akipendacho.
#ukipendwapendeka
20230612_072408.jpg
 
Level ya kipato chako ndio itaamua.
Ukiweza mpatie gari, ukishindwa mpatie zawadi za siku zote za common man kama mkufu, perfume, kiatu, kufuli, backet la chocklate n.k

Kama itakuwia ngumu kumchagulia zawadi, tafuta ua kubwa lichomeke mkwanja wa kutosha kuanzia 100,000/= nakuendelea ili akajinunulie akipendacho.
#ukipendwapendekaView attachment 2788977
Hiyo picha hapo ina maana gani 😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙌
 
Mwamba anapikwa, akishaiva atakuwa anatoa zawadi kwa mwenza wake😂😂😂😅😅😅.

Kimsingi hiyo picha ipo wazi kwa kila mtu na tafsiri yake.
 
😂😂😂😂😂😂😂😂🙌 nimecheka kwa sauti...
Oky oky kumbe ishu ya hii picha imeanzia kwenye zawadi 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Humu ndani kila mtu na akili yake 😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌
 
Back
Top Bottom