Tajiri Kichwa
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 9,021
- 22,016
Rabaaaikaaaaa...Poor brain!
Zawadi na pesa ni tofauti...Mimi huwa natuma tu pesa randomly akanunue yeye anachofaka. Me siwezi jua kitu gani nipeleke sasa atapenda
Kwa utamu gani,....... Simba la masimba DangoteHata gari Kali nayo ni zawadi...
Mkuu hii ya chipsi na yogart hii...chips na yoghurtπ
YogurtDuuuh mi wangu anasema anataka
Yogart
Mkuu huyu mbona kama wa kwangu hebu taka location kwanza.chips na yoghurt[emoji23]
Ududu uliopakazwa mkongoMm girlfriend wangu huwa namnunulia makufuli tu huwa ana enjoy sanaaa.
Nikiwa high school kuna jamaa mmoja aliwah kumzawadia demu pedi ..aiseee yule demu alipandisha moriiiiii akataka kukunja ngumi na jamaa
Idea kaliMnunulie mkufu mzuri wa shingoni au perfum
Na ww pia zam yako ya kumkunja inakuja ni swala la kutia bidii katika kila jambo na kila wakatiDah! Haya maisha haya, wakati unawaza umfurahishe vp na vijizawadi, mwenzako anabuni style kadhaa wa kadhaa za kumkunja...
Sawa ni yogurt....Yogurt
Hiyo picha hapo ina maana gani πππππππππLevel ya kipato chako ndio itaamua.
Ukiweza mpatie gari, ukishindwa mpatie zawadi za siku zote za common man kama mkufu, perfume, kiatu, kufuli, backet la chocklate n.k
Kama itakuwia ngumu kumchagulia zawadi, tafuta ua kubwa lichomeke mkwanja wa kutosha kuanzia 100,000/= nakuendelea ili akajinunulie akipendacho.
#ukipendwapendekaView attachment 2788977
Mwamba anapikwa, akishaiva atakuwa anatoa zawadi kwa mwenza wakeππππ π π .Hiyo picha hapo ina maana gani πππππππππ
πππππππππ nimecheka kwa sauti...Mwamba anapikwa, akishaiva atakuwa anatoa zawadi kwa mwenza wakeππππ π π .
Kimsingi hiyo picha ipo wazi kwa kila mtu na tafsiri yake.