Zawadi imesababisha ugomvi na wife, leo nimenasa wakuu

Ngoja nimpigie shemu kuwa hayo maua ulipewa na yulr mchepuko wako Jack wa Unungo riverside😂😂
Ayaaaaaa.....🙆‍♂️
Usha haribu...🙊
 
Kosa ni kuacha family mkoani alafu we uko bongo... ukiama hama na family.
 
Ndio nimepata somo mkuu, ila mwanangu Tupa kaniponza..😞
Kwanza mwanamke kujuwa choice yake ni ngumu hata akiwa mke wako, mambo ya samplaizi msaplazi na Nissan Duaris kama una ubavu hapo utamsaplaizi kweli.
 
Namskia skia hata mimi jirani...😂
Ebu mtagi aje anipoze machungu...😋
Umeyataka mwenyewe kwa sababu ya kuiga utamaduni usio wetu ndiyo maana ukasahau ua kwenye begi. Wenzako hulishika mkononi na wanapofunguliwa mlango wanampatia mhusika hapo hapo. Sisi wanawake huwa tunawapa zawadi ya nguo au fedha au vyote. Mwafrika na zawadi ya maua wapi na wapi. Hata binti kiziwi na uzungu wake wote ukimpelekea zawadi ya ua atakuvurumusha nalo!
 
Endelea kumpelekea zawadi siku nyingine mpelekee t shirt ya Real Madrid siku nyngn dozen ya pichu siku nyingine supuraiz ya kupiga miti Ile miuno ya mwanaukome
 
Waulize ma-classmate wako. Sisi hatuna busara. 😁
 
Pole sana classmate.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…