Zawadi imesababisha ugomvi na wife, leo nimenasa wakuu

Sasa mtaalam Ushi, hilo ua lilikaa vipi kwa begi, au lilikuwa artificial🤣🤣🤣
Hata hivyo maua yanashikwa mkononi akifungua mlango tu ni hugs, makiss na nilikumiss nyingi!!
 
Sekunde ya 36 mabeberu hao... Wakati video ina 11mins.
Mabeberu hayajui bando limepanda bei, hayaelewi ni kwa namna gani umehustle kuipata hiyo connection, wenyewe ni sekunde tu haoo
 
Na angekuta Bunda la hela angesemaje sijui
Yaani wanawake kuishi nao inataka ujifanye zuzu tu maana hata chupi zake anaweza kusema umekuja nazo wewe 😄
Hiyo ya chupi ni kweli, jamaa yangu ni daktari wa binadamu walikuwa na project za Usaid Lindi, basi mke wake akawa anakwenda kumtembelea na kurudi Dar baadhi ya nguo zake anaacha kwenye geto la mshkaji.

Basi kuna safari akaenda ukaanza ugomvi wa chupi hii ya nani wakati chupi ni yake na aliiacha yeye.

Mimi naamini kuna wanawake wana ukichaa fulani hivi mpaka anayeishi naye ndio anaweza kujuwa anaishi na kichaa fresh.
 
Pole classmate,nipe namba yake nikusaidie kumuelewesha.
 
Nyege hizo kakumisi! Piga pu..mbu mkuu.
 
😂😂😂😂😂Pole sana
 
Ona sasa, kama sio wehu ni nini
Yaani tuna utofauti mkubwa sana kwa kweli
Bora umeleta ushahidi maana kuna jamaa kanikejeli hapa hajui mimi ni muhenga 😄 🤣
 
Chukua hilo ua liweke pesa za kutosha ndani yake (asione ukifanya hivyo) ghen m embeleze mwambie ua limebeba zaidi ha huo urembo aangalie vizuri hakika utaona tabasamu lake
Hongereni mliothubutu kuoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…