Zawadi imesababisha ugomvi na wife, leo nimenasa wakuu

Mkeo anawashwa (KUMLADHI)....

ashakum si matusi.
 
Eheheh.
Kuna jimama moja hapa JF way back alinipa zawad moja kali sana, kiukwel ile haikua ya kufichika na mimi sikua mtu wa vitu zile, seriously nikaona sina jinsi zaid ya kuigawa na mshkaji wangu. Sikua nimejiandaa kujibu maswali.😂
 
Mwambie sawa hukuwa na tabia ya kumpelekea maua ila ndo umeanza leo.
 
Ahsante kwa taarifa. Another one 🗣️
 
Mke wako nae yupo juu juu,atakua wale waswahili swahili yaani hata hujapumzika ameanza kukagua mizigo yako!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…